Halima Mdee apoteza Jimbo la Kawe, Gwajima aibuka kidedea

Walimu, Polisi, NEC, TCRA Ndio nyota wa hii game..ila polisi nyie polisi Mungu yupo. Nyie Polisi mmegeuka kama sio waTz. Nyie watu hamna utu.

UKATIRI Mnaowafanyia watu mjue kabisa Mbinguni Mtakwenda moja kwa moja Jehenam...Mnaumiza sana watu jiulizeni sana kama Ukatiri huu unawapa Neema mbele za Macho ya Watanzania..
 
1604002164181.png

We will always love you our heroes
 
Acha udini wewe
Yeye siyo mdini mdini ni huyo aliyetangazwa mshindi huyu amefanya kuweka kumbukumbu sawa tu!

Mimi nachosubiri baada ya uchaguzi huu ni kuona kila mahali barabara za lami,maji safi watoto kutokukaa chini huko mashuleni,mahospitalini huduma ziboreshwe sometimes hata zile kero za ndugu kunyimwa miili mfu ya ndugu zao ziondolewe though sikumbuki lini kumsikia mbunge wa CCM akiliziungumzia hilo mara ya mwisho nilimsikia mbunge mmoja wa upinzani akimbana Umi pale bungeni naye akajibu ujinga ujinga tu na midomo yake aliyoipaka rangi utasema kicheche katoka kuiba kuku.

Kwa ufupi, kama ni gari dereva ameshasinzia huku gari ipo speed 140.
 
Back
Top Bottom