Halima Mdee apelekwa mahabusu

Status
Not open for further replies.
Acha apelekwe,maana anajidai yupo juu ya sheria,huyu kasoma sheria ila hajui kuiaply.Maandamano yalikatazwa yeye kayaitisha,si uchochezi huo,akitoka huko atakuwa kajifunza
Nani kakuroga we mpuuuzi
 
Reactions: BAK
ngoja anyee debe ataelewa utii wa sheria ni nn

Unadhani mnaweza kuwatisha makamanda wa kweli kwa kuwapeleka mahabusu? Hivo ni vijimambo vidogo sana na haviwezi kufifisha harakati za ukombozi wa pili dhidi ya mkoloni mweusi.Mandela mwenyewe alivishinda vitisho hivyo na ndio maana wa~south leo hii wanafurahia uhuru.
 
- Sheria ni msumeno ingawa kajitahidi safari hii mpaka kaenda mahabusu inatia moyo kidogo, Mwenyekiti yupo South Africka anakuyla batazz U know!!

Le Mutuz
ww tunakujua huna jipya kazi yako ni kuisifia serikali ya wahuni wenzako pia kupiga picha za utupu na makahaba wenzako
 

https://www.youtube.com/watch?v=jgQBoXsxr8w&feature=player_detailpage
 

Mbona umepanic na unaweweseka sana? Hii mbinu ya kutisha watu ilishashindwa kitambo na soon kutakucha tu! Hili giza nene linaashiria kupo karibu kupambazuka!
 
Kazi kwelikweli. Mbona wanawaogopa makamanda kiasi hicho? Kamanda tunakuaminia. Tuko nyuma yako. Ngoja wazidi kukuimarisha na kupaisha jina lako. BAWACHA imempata kiongozi makini. Bravo.
 
Mkt wa Bawacha Taifa na Mbunge wa Kawe Mhe. Halima mdee Amepelekwa maabusu jioni hii. Anatarudishwa mahakamani hapo kesho.

Makamanda kesho tuende mahakamani kwa uwingi kuichukua haki yetu.

Kesho ni sikukuu ya kupokea katiba mpya so nadhani hadi keshokuutwa makamanda ndo mje pale tumuage kwa mara ya mwisho kabla ya kumwona tena mwakani
 
Hata huko gerezani kuna magamba nako yatapigwa kama huku mitaani.
 
Hivi mbowe alishawahi kukaa mahabusu kwa ajili ya chadema? Mbowe alishawahi hata kunaswa vibao kwa ajili ya chadema?
 
Wangejua ni kiasi gani wanaharibu jina la Tanzania , Rais, Mahakama na Polisi wasingeendekeza ujinga huumKesho Halima Mdee anapanda chati mtaanza kuhangaika.Tukumbuke kila chenye mwanzo kina mwisho, na kila kizawaliwacho hufa.
 
- Saafi sana Sheria ni msumeno hakuna mbunge wala nani wakivunja Sheria weka rumande na wakileta za kuleta wapigeni tu u know!!

Le Mutuz
Wewe mzee wa mabebizi una utoto mwingi;nenda kashindane na akina Wema;Kajala na wenzio hili jukwaa sio saizi yako
 
Ishara ya ukomboz. Mwanamke huyo amedhubutu na ameonyesha mfano kwa wengine. Siasa ina suruba. Ambaye hataki anambie mwanasiasa gan dunian aliyefanyikiwa kwa mteremuko. Mandela, nyerere,ghandi,au nani.mfano ni uhuru kinyatta kesho kuanzia saa 11 angalieni live coverage citizen au the hauge. Mdee mwachen cku moja mtamwelewa vizur
 
Bora wangeanza na wale magaidi wa Uamsho maana wanastahili.
Bora afungwe kabisa......yaani ikiwezekana serekali imuweke mfuko wa nyuma kabisa, asiishie kwenye mfuko wa shati.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…