wewe mkuu muda wote unakuwa unafanya nini..kuwakatikia akina chenge na sita viuno..kama mlivyofanya bungeni..taifa la makunguru kama ninyi ni taifa mfu..kusikia jela tu unataka ujikojolee..Afungwe tu. Si mnajifanya wanaharakati!
Wanazidi kumuimarisha
naunga mkono hoja Muda wa ukombozi umeshakaribia hakuna kurudi nyuma daima
Yaaap hata kina nelson Mandela walifungwa miaka kibao kwa kupigania haki go halima goooo
Siwezi kubishana na watu cowards kama wewe..si ajabu una miaka 30 hata polisi kwenda kutoa ushahidi hujawai fika..so ni ukubguru tu unakusumbua.. Acha wanawake wa shoka kama akina halima mdee wapiganie haki zako..wewe kapake hina-cowardHakuna wanaume waoga kama akina Lissu, walishasema wao hawatakaa mbele hata siku moja, maskini wamemtosa mmama wa watu! Aibu.
Anatafuta umandela eti na yeye kaenda jela. Watu wanataka tu kufanya siasa ili wapate madaraka ya nchi. ilikua agenda ni 'katiba' chama tawala kikawazidi kete,.. sasa imekuja 'kuandamana hadi kieleweke'. Lakini halima ameanzisha mpya ya 'kupelekwa jela'.Mkt wa Bawacha Taifa na Mbunge wa Kawe Mhe. Halima mdee Amepelekwa jela jioni hii... Anatarudishwa mahakamani hapo kesho...
Makamanda kesho tuende mahakamani kwa uwingi kuichukua haki yetu..
Kasome historia wewe..akili umewapa akina chenge na sita wewe unatumia makalio..kwa hiyo kutaka wabunge waliosoma, kutaka baraza la mawaziri dogo lenye ufanisi, kutaka kikomo cha ubunge nk ..ni wajerumani ndo wanataka..huoni aibu akili umewapa akina kinana wewe umebaki na makalio kufikiri..Hawakufungwa kwa ujinga kama huu wa kutumiwa na wajerumani ili warudishe ukoloni na ushoga.
Atakuwa Lissu tu.
Acha apelekwe,maana anajidai yupo juu ya sheria,huyu kasoma sheria ila hajui kuiaply.Maandamano yalikatazwa yeye kayaitisha,si uchochezi huo,akitoka huko atakuwa kajifunza
kasome katiba vizuri kuhusu haki ya kuandamana...Acha apelekwe,maana anajidai yupo juu ya sheria,huyu kasoma sheria ila hajui kuiaply.Maandamano yalikatazwa yeye kayaitisha,si uchochezi huo,akitoka huko atakuwa kajifunza
huu uonevu una mwisho Halima Mdee mwanaharakati wetu hakuna haki inayopatikana bila kupambana hata Nelson Mandela alifungwa miaka 27 mwisho wake Afrika kusini ilipata uhuru hakuna kuogopa kwenda mahabasu ni njia tuu za kuleta harakati TIME WILL TELL.
View attachment 191188
WAZALENDO MSIKATEE TAMAA MUDA WA UKOMBOZI UMESHAFIKA
uzushi Hui
shutuma hi I
uchochezi mkubwa!
Jela au mahabusu?
Mkt wa Bawacha Taifa na Mbunge wa Kawe Mhe. Halima mdee Amepelekwa jela jioni hii... Anatarudishwa mahakamani hapo kesho...
Makamanda kesho tuende mahakamani kwa uwingi kuichukua haki yetu..
Safi sana akakutane na wababe wa jela wamkoboe