Halima mdee anguruma mlalakua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Halima mdee anguruma mlalakua

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mkombozi, Oct 3, 2010.

 1. M

  Mkombozi JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2010
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 617
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Sasa hivi nimepita mlalakua iliyokaribu na Mlimani city.Amejieleza vizuri sana.Pia wananchi wamepewa fursa ya kuuliza maswali.Ni mkali,Kawe wasimpoteze.dada huyu,yuko makini sana.Nilikua napita tu katika kuangalia upepo wa campaign zinaendaje.Kawe mpo?
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 69,367
  Likes Received: 3,019
  Trophy Points: 280
  Dada huyu ni lulu ya taifa hili
   
 3. K

  Kimla JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2010
  Joined: Jun 8, 2008
  Messages: 1,260
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Big up mdee.usihofu kuwa ngangali na mungu atakuongoza
   
 4. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2010
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  mdee kaza buti, ili uwaonyeshe wale waliokudharau kama dr CHEGENI, ambaye siku ile mlipokuwa mkiojiwa na tbc bungeni dodoma , alisema hauwezi.
   
 5. N

  Nsaji Mpoki JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2010
  Joined: Nov 5, 2007
  Messages: 396
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  WanaJF nawaombeni atembelee Iringa Mjini siku moja tu,akoleze makali aliyoacha Dr Slaa
   
 6. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #6
  Oct 3, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Go kadadaaa.. tunahitaji mabadiliko, ila hakikisha unapata watu wazuri wa kusimamia kura zako zisije chakachuliwa na mafisadi!
   
 7. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #7
  Oct 3, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,240
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Nilipenda pale alipokomaa na Makamba pamoja na yule meya sijui nanai wa DSM kuhusu viwanja kule kawe.
  Mpaka mtu mzima Makamba alislimu amri.
  Big up sister.
   
Loading...