Halima Mdee amwita Dk. Magufuli Jembe

Ni jembe mchapakazi ila mrengo aliepo ndo hatuuamini,huez sukuma gari ukiwa ndani yake na utegemee litasogea#insanity
 
Ni jembe kweli atawalima na kuwamaliza upinzani, subilini mwezi ujao ndo mtaisoma
 

Ndiyo kende. Sasa hivi ndo sitaki kusikia Ukawa baada ya kumpokea Lowasa. Kwahiyo namuunga mkono Magufuli kwa 100%. Ukawa wamemsema sana Lowasa kumbe walimtaka! Hii ndo mwansiasa mmoja aliuita wivu wa kike. Magufuli hoyee!!!
 
Last edited by a moderator:
Makamanda huu uzi kwao ni mwiba mkali kwasasa hehe!
 
Asante sana Kwa msimamo wa kweli PARADIGM
 
Last edited by a moderator:
Magufuli ni jembe kweli, hakuna haja ya kuunyima ulimi haki yake ya kutamka wakati umejawa na shauku. Wapinzani wote wanalijua hilo wazi
 
Kazi tu ndo kila kitu ktka maisha ya kila siku, polojo ni kupoteza muda
 
Magufuli 4 change wanamkubali 100% rais wa wanzania 2015
 
tanzania ni ya ccm,ukawa na vyama vingine,so magufuli ni rais mtarajiwa wa hao watz,inabidi akubalike,mimi binafsi amenishawishi
 

Ccm mnazama hivyo ataa njiti mnadandia.
 
Last edited by a moderator:
CCM kuna kitu wameshndwa kuelewa na hii ni miongoni mwa vitu vinavyoenda kuwaangusha mwaka huu..

Hakuna mwenye akili timamu asiyemkubali magufuli kama ni mchapakazi' na nathubutu kusema yawezekana magufuli akawa bora kuliko lowassa!

Mnachopaswa kujua siyo kwamba magufuli hafai..wa'Tanzania "wanaojitambua" hawaitaki CCM! na hili mmekua mkilifanya sana mfano juz nmeona startv wamerusha clip za zaman za mdee, mbowe na lowassa zote zkimsifia magufuli, lengo kuwaamisha watanzania kitu ambacho wanakijua'

Tanzanians fights vs CCM not magufuli..take it
 
n zaman embu acha ujinga... haya tupe ya zaman walomuita lowasa jembe! achen unafiki
Acha kuhemka kwani uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Goba-Tangibovu ulifanyika lini? jaribu kuwa na kumbukumbu ni kabla ya kipindi cha kampeni
 
Ni jembe mchapakazi ila mrengo aliepo ndo hatuuamini,huez sukuma gari ukiwa ndani yake na utegemee litasogea#insanity
Pengine mkuu wamejua hilo wamekuja chagua mtu si chama ila itakuwaje kwani hatuna mgombea binafsi katika sharia zetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…