Hahaha halima amechoka unafiki wa Chadema
kiraia kweli unaongea kiraia,kafanye utafiti ndo ulete hapa. Sasa unaanza kupinga tu. Wapo raia waelewa lakini sijui wewe raia wa wapi.Kwa kweli barabara ya Goba inajengwa kwa speed sana tatizo sijui ubora wake utakuaje. Pia sijui itakua inabeba uzito gani kwa kuwa malori ni mengi sana ile barabara
kiraia kweli unaongea kiraia,kafanye utafiti ndo ulete hapa. Sasa unaanza kupinga tu. Wapo raia waelewa lakini sijui wewe raia wa wapi.
Kwenye ukweli kwa nin asiseme????
CCM mmeishiwa sera mnatafuta njia za kupaka matope majembe wanaofanya kazi ambao hawana chembe ya UFISADI.
Magufuri ni Jembe isipokuwa sasa JK amemtia UBUTU kwa kumpeleka East Africa Community.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!