Halima Mdee amwita Dk. Magufuli Jembe

Halima Mdee amwita Dk. Magufuli Jembe

Lyong'o

Member
Joined
Oct 1, 2013
Posts
68
Reaction score
33
Katika hali isiyotarajiwa Mbunge wa Kawe Halima Mdee amemtaja Dk.Magufuli kuwa ni Jembe kwenye mkutano Goba katika uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi barabara ya Mbezi Mwisho kwenda Goba mpaka Tangi Bovu.

Aidha, wananchi wa Goba (Wote CHADEMA na CCM) wamempokea Dk.Magufuli kwa shangwe wakimwita "JEMBE JEMBE" Clip ya video angalia hapo chini.

Pia alikuwepo Mbunge wa Jimbo la Ubungo Mh.John Mnyika na wote kwa pamoja wamesema "MAENDELEO HAYANA CHAMA"

DSC_5707.JPG
Dk.Magufuli (W/Ujenzi), Halima Mdee(MB-Kawe) na Madabida(M/Kiti CCM -Dsm)
DSC_4918.JPG
Kutoka Kushoto Mkuu wa Mkoa Dsm, Dk.Magufuli, Madabida na Mh.Mnyika.​
 
Last edited by a moderator:
Katika hali isiyotarajiwa Mbunge wa Kawe Halima Mdee amemtaja Dk.Magufuli kuwa ni Jembe kwenye mkutano Goba katika uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi barabara ya Mbezi Mwisho kwenda Goba mpaka Tangi Bovu.

Call a SPADE a SPADE; NOT a BIG SPOON!! mnyonge mnyongeni LAKINI haki yake mpeni; Well done Kamanda Halima; upinzani sio kufumbia macho mambo yaliyosimama sawasawa na yako wazi; ni njia bora ya kumtia moyo na hamasa mtu anayeonyesha bidii na tofauti katika maono na utendaji kazi kwa upande Magamba.
 
Akisema hivyo siyo kusifia ccm yote,ndani ya ccm kuna majembe na majizi.magufuli ni jizi lenye kutumia akili anatengenza barabara hazina viwango anapiga pesa,kauza nyumba za serikali zingine kaonga mahwara zake.
 
Katika hali isiyotarajiwa Mbunge wa Kawe Halima Mdee amemtaja Dk.Magufuli kuwa ni Jembe kwenye mkutano Goba katika uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi barabara ya Mbezi Mwisho kwenda Goba mpaka Tangi Bovu.

Aidha, wananchi wa Goba (Wote CHADEMA na CVM) wamempokea Dk.Magufuli kwa shangwe wakimwita "JEMBE JEMBE" Clip ya video inakuja.
Leticia akisia patachimbika ,ataitisha press conference
 
Hakika Halima Mdee siku zako huko chadema zina hesabika! Hakika na jimbo lako sasa litachukuliwa na Josephine maana huu ni usaliti kusifia mawaziri wa Jk!
 
Last edited by a moderator:
Katika hali isiyotarajiwa Mbunge wa Kawe Halima Mdee amemtaja Dk.Magufuli kuwa ni Jembe kwenye mkutano Goba katika uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi barabara ya Mbezi Mwisho kwenda Goba mpaka Tangi Bovu.

Aidha, wananchi wa Goba (Wote CHADEMA na CVM) wamempokea Dk.Magufuli kwa shangwe wakimwita "JEMBE JEMBE" Clip ya video inakuja.
Kuitwa jembe si tatizo ulimaji wake ndio tatizo
 
Ukweli lazim usemwe. Watu wanafikiri upinzani ni kupinga kila kitu hata chenye tija. Mi si CCM lakini Magufuri namkubali.
 
Kwenye ukweli kwa nin asiseme????

CCM mmeishiwa sera mnatafuta njia za kupaka matope majembe wanaofanya kazi ambao hawana chembe ya UFISADI.

Magufuri ni Jembe isipokuwa sasa JK amemtia UBUTU kwa kumpeleka East Africa Community.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Magufuli ni mchapakazi tatzo lake ni kujipendekeza sn kwa JK na kusifia wezi ndani ya lichama lake ccm
 
Kwenye ukweli kwa nin asiseme????

CCM mmeishiwa sera mnatafuta njia za kupaka matope majembe wanaofanya kazi ambao hawana chembe ya UFISADI.

Magufuri ni Jembe isipokuwa sasa JK amemtia UBUTU kwa kumpeleka East Africa Community.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!

MIZAMBWA ISIKUUME SANA!!

Aliyepelekwa East Africa Community ni Dr. Mwakyembe Looohhh pole sana.
 
Ameitwa jembe kwa kazi alofanya,,,Sioni tatizo lolote hapo...
 
Kwa kweli barabara ya Goba inajengwa kwa speed sana tatizo sijui ubora wake utakuaje. Pia sijui itakua inabeba uzito gani kwa kuwa malori ni mengi sana ile barabara
 
Ttz nn? Wa mbili havai moja magufuli ni waziri wa mfano kuw upinzani c kupinga kila jema tuache mawazo mgando.big up halima james mdee sifia panapo stahili kosoa panapostahili nchi isonge mbele
 
Back
Top Bottom