Halima Mdee amchana Pinda live Bungeni Ardhi ya Mpanda

ya pinda tumwachie pinda ayapindue ili apinduke nayo.Ndo maana ukimwangalia usoni amejaa matuta utafikiri ngiri ajuza sababu ya unafiki wake
<br />
<br />
usicheke maumbile jamanni utakua unamkufulu muumba wako bwana, tupunguze jazba ata kama hawa magamba wanatuboa twende nao taratibu mbona mwisho wao umewadia eeh bwana taratibu tu sawa jamani.
 
Pinda is implementing the ruling party's manifesto so you should not expect him to act otherwise.
 
ya pinda tumwachie pinda ayapindue ili apinduke nayo.Ndo maana ukimwangalia usoni amejaa matuta utafikiri ngiri ajuza sababu ya unafiki wake
<br />

Hahahaha ha ha haaaaaaaaaaaa! Ah! Watu mna maneno! Lol!
 
Huyo serukamba anaudhi sana, hana analofikiria kwa akili yake. Yeye kila siku kupigia debe anayoagizwa na mabwana/vigogo/mafisadi! Kweli kilaza ni kilaza tu hata akipita darasani!
 
Back
Top Bottom