Halima Mdee akamatwa na polisi

Status
Not open for further replies.
maandamanoo au mbwembwe tu kujitafutia umaarufu...chadema bwana kwelii kimekufaaa mana alikuwa na wanawake mamantilie sijui watano au kumii wale....... hiki ndo chadema sasa namuelewa NAPE kuwa wanatafuta picha za kukamatwa na polisi watume ulaya kupata pesa
 
Huta kaa uelewe sayansi ya chadema katika public awareness , leo hii unasema chadema imekufa wakati mkutano wa wawanawake pale mlimani city ulikuwa mafuriko

Halima kua msomi mwanasheria wandamizi a wakili ni umaarufu tosha hawezi kuhitaji umarufu toka kwa form four failures walala kwenye mabati na watumia mapipa kama vyoo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom