Jitathimini kwanza huna ubavu wa kusimama nami ulingoni.... Watafute msalani, simiyu yenu, thatha, hammy d nk mm si size yako ngedere wewe
Umeandika nini wewe, madhara ya kukimbia umandeItafuta zamu yako jiandae mpuuz mkubwa wewe
angajua angemuomba kibali kikwete wakati wanafungua hiyo barabara ya tegeta...
_hawa police wetu dawa yao ni JWTZ tu
Leo kulikua na maandamano ya baraza la wanawake CHADEMA yaliokuwa yanaelekea ikulu kudai kuchakachuliwa kwa rasimu ya katiba yakiongozwa na mwenyekiti Halima Mdee, polisi wakaingilia na wakawatanya pia kumkamata Halima Mdee, kwa sasa yupo mbaroni.
Chanzo: ITV Breaking News
walitaka kuonana na raisi ; inaonyesha ata tv hawaangalii jana raisi anafungua hosp dodoma; kwanini wasimsubiri au wafuate ziara ya bukoba; kwani chadema hipo dar ; tumia akili , mburula wa cdm ; watafute kina mama wa dodoma au bukoba,
Unajitahidi sana ku comment ila Unatujazia tu saver maana unaandika upuuzi...
Kinachowasumbua wewe Ghosryder katumbili and Co, ni kwamba kila mtu anayekosoa hapa ni mwanachama au mpinzani,yaani hii homa itawatesa sana,mkishaambiwa ukweli mnadhan labda huyu wa chama fulani cha upinzani,humu ndani kuna kundi kubwa la watu ambao hawana vyama na wanatoa maoni yao aidha kwa kuisifia serikali au kuikosoa,na pia kuna wana CCM wenzenu ambao nao wanaiponda CCM.Tumeshawachoka na mifano yenu hiyo hiyo kila kukicha, Mnavunja amani ya nchi mkiulizwa, eti oo maji hakuna, hela zimeibiwa, ajira hakuna sijui nini. Mifano ya kipumbavu, hata marekani huduma za jamii hazijakamilika, acheni upuuzi.
Leo kulikua na maandamano ya baraza la wanawake CHADEMA yaliokuwa yanaelekea ikulu kudai kuchakachuliwa kwa rasimu ya katiba yakiongozwa na mwenyekiti Halima Mdee, polisi wakaingilia na wakawatanya pia kumkamata Halima Mdee, kwa sasa yupo mbaroni.
Chanzo: ITV Breaking News
Ni kweli kabisa Dr.Dr.Dr. JK alimualika ikulu.
hapo ulitakiwa kutoa source ya hayo maneno, maana nakumbuka haya yalitoka kwa mkubwa fulani, kwanini hujandika source yake kiongoziLazima utapigwa tu
Acha ububusa kijana, Rais Ni taasisi sio mtu . Hawa walikuwa na haki yakupigwa, ni wahuni tu hawa.
hivi mwanamke anaweza kukamatwa na mwanaumea au sheria ipi