Halima Mdee ajisalimisha kwa Gwajima

daaaah yani frola mbasha yupo na shangwe zoote
 
Lazima na mheshimiwa nae atafyagiliwa tu na huyo bwana
 
Last edited by a moderator:
Gwajima ni kamanda wa ukweli sana, tupo pamoja pia ahsante kwa kutambua mchango wa Halima.
 
Ni kweli wajinga wapo wengi ila wengine hawajitambui. Hata maisha bora kwa kila mtanzania alishaamuru miaka mingi iliyopita.

Naam, leo hii kila Mtanzania ana maisha bora na fursa nyingi sana kuliko ilivyokuwa miaka 9 nyuma. Labda awe mgonjwa wa akili, mzee sana ambae wanawe, ndugu, jamaa na marafiki wamemtupa au ni mvivu wa kutupwa.
 
gwajima hana lolote la uadilifu. kanisa lake kama kakobe ni kampuni ya kujipatia kipato kwa udanganyifu. baada ya kuwazuga wafuasi wao na kupata utajiri mkubwa uroho umewazidia. wanaona kwenye siasa kuna pesa zaidi.

Lakini mimi Sizani kama jamaa anakosea, haibi,havunji sheria ya nchi, na ha support upumbavu, kama wananchi wanataka serikali tatu na yeye yuko kwenye serikali tatu ni sawa.
 
Rose akiamia Flora hana lake. Flora atapigana kufa na kupona Rose asipate gap.
 
Daa naona Gwajima kaanza uongo na utapeli!
 
Muda si mrefu tutasikia frola kazipiga na mdee !!!!
 
Lakini hapo cha ajabu ni nini? mbona mnamuandaaaama dada wa watu...hivi hamna vitu vingine vya kufanya.......mimi sioni kama ni logic kumfuatilia Halima mdee katika harakati za maisha yake.......acheni wivuuuuuuu
 
Napata kumchukia Halima Mdee nilivyosikia alikuwa muislamu halafu akabadilika kuwa Mkiristu (kafiri), Ni bora angekuwa mkiristu toka mwanzo kuliko alivyobadili, lakini akiwa bungeni namind sana.,
 
Last edited by a moderator:
Kilicho baki wanajamvi tumuache huyu mwana aendelee kupiga injili yake mi naona magazeti ya udaku ni noma xana yaaani yale ndio yanayo tufanya wanachi tucharuke kila gazeti ililo muandika Gwajima nanunua lkn habari ya ndani ni hovyo tuuu.....GWAJIMA endelea kuinjilisha mwana
 
Napata kumchukia Halima Mdee nilivyosikia alikuwa muislamu halafu akabadilika kuwa Mkiristu (kafiri), Ni bora angekuwa mkiristu toka mwanzo kuliko alivyobadili, lakini akiwa bungeni namind sana.,
yaaani wewe ndio hamnazo kabisa kumbe vita yote hii na mchungaji wa watu kumbe unamchukia kwa ajili ya udini.....akhagagfsfsdfc\'\[v[pd]w9q43423...
 
Muda si mrefu tutasikia frola kazipiga na mdee !!!!
wazipige kisa nini?mbona unamuaibisha Mdee?,unaonekana mjinga kwa kupost ujinga humu sasa kamanda mdee hapo anahusikaje?au mnataka kumpakazia kama mlivo fanya kwa hao wengine? mdee anaulinzi kijana kuwa makini.....leta hoja za msingi kama umekosa kazi soma magazeti ya udaku ucheke.....
 
Lakini mimi Sizani kama jamaa anakosea, haibi,havunji sheria ya nchi, na ha support upumbavu, kama wananchi wanataka serikali tatu na yeye yuko kwenye serikali tatu ni sawa.
Najaribu kumchunguza naona kama mchizi anasingiziwa yaan speech zake ni kali kweli jamaa anasema kweli haogopi serikali wala nini jamaa duu.....kama angekuwa amefanya yote hayo wasinge muacha huyu
 
gwajima hana lolote la uadilifu. kanisa lake kama kakobe ni kampuni ya kujipatia kipato kwa udanganyifu. baada ya kuwazuga wafuasi wao na kupata utajiri mkubwa uroho umewazidia. wanaona kwenye siasa kuna pesa zaidi.

kama unafkir ni rahc kudanganya jarb na ww 2one tja utapta hzo hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…