Halima Mdee Aikataa keki ya Shyrose Bhanji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Halima Mdee Aikataa keki ya Shyrose Bhanji

Discussion in 'Jamii Photos' started by Safari_ni_Safari, May 4, 2012.

 1. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Kwa kukataa keki ya magamba........

  Halima
  [​IMG]

  Lucy
  [​IMG]
   
 2. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  mbona inaonekana kama hawa wadada wana chama chao kinachojihusisha na usagaji?
   
 3. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  hongera bi. halima, ingekuwa mbatia (CCM C), au lipumba (ccmB) angepokea kwa uroho
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Hizo rangi zinataka roho ya Mwendawazimu kupokea!
  Hata kama ni Birthday ya mtu, mi nitagusa Konyagi tu, hiyo keki ng'oo!
   
 5. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  harafu ina maana baada ya kukataa mara ya kwanza halima alienda kubadili mavazi. mbona mavazi yapo tofauti!
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  May 4, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mkubwa hii inatoka wapi tena?...si uanzishe thread basi?
   
 7. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #7
  May 4, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nimezipenda picha, ni nzuri, na wamependeza.
   
 8. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #8
  May 4, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Hapana huyu mwingine ni Lucy Owenya
   
 9. a

  armanisankara JF-Expert Member

  #9
  May 4, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  [​IMG]
  Katika Birthday ya Mbunge wa EALA, Shyrose Bhanji iliyofanyika jana katika ukumbi wa nyumbani lounge, kituko kilitokea pale ambapo mbunge huyo alitengeneza keki yake kwa kuenzi Chama Chake CCM, iliyokuwa na rangi za chama hicho kijani na njao. Utata ulikuja pale ambapo kulikuwa na wabunge wa vyama vya upinzani akiwemo Halima Mdee ambaye alionekana kuikataa keki ya Shyrose huku akicheka.Mdee alichagua kusimama kidete na chama chake na kuisusa keki hiyo iliyokua inaonekana kana kwamba kuitukuza CCM.Pamoja na hayo Party ilienda shwari na marafiki wote wa Bhanji akiwemo Mdee walifurahia party hiyo.
   
 10. b

  busar JF-Expert Member

  #10
  May 4, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Mods mmepolea wapiiiiiiiiiiiiiiiii...........!!!!!!?????? Move dis
   
 11. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #11
  May 4, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  ishawekwa hii habari ! ...
   
 12. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #12
  May 4, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  hata mbwa anakufa siku uwezo wa kunusa unapofikia kikomo.
  HEKO MDEE,sumu haijaribishwi kwa kuionja.
   
 13. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #13
  May 4, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Tumesha itolea matamko sana hii picha na hao cute wa CDM kwenye thread nyingine!! kuwa Thy shall not touch neither taste It, cause surely on that same day ... will surely die!!
   
 14. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #14
  May 4, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,036
  Likes Received: 3,068
  Trophy Points: 280
  Pollanium ni nouuuumaaa ....ni bora ukachomwa na UVRs ya O-zone unaweza kubaki salama lakini si kitu hii

  Viva Mdee,Viva CDM!!
   
 15. b

  baraka boki Senior Member

  #15
  May 4, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 181
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  mbona umemwacha wapi john magalle shibuda
   
 16. Kaitampunu

  Kaitampunu JF-Expert Member

  #16
  May 4, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,681
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Utani mwingine siyo jamani, kwa hizo rangi hiyo party hata maji sinywiiiiii!
   
 17. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #17
  May 4, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,695
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Eeeeh, this lady is cute bwana..hawezi kula hayo marangi ya makijani...
   
 18. z

  zacharia elieza New Member

  #18
  May 4, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Heko mdee hayo makijani majanga tu
   
 19. e

  environmental JF-Expert Member

  #19
  May 4, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,054
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  whatever we say it was a really fan moment
   
Loading...