safi sana mbunge wetu,njoo na huku mbezi juu,maeneo ya jogoo mabomba ya wachina hayatoi maji,tumefuatilia dawasco hadi tumechoka!karibu muheshimiwa
Clouds wemesifia wabunge chadema ujue hiyo ni kweli na haina chenga.!
MAFILILI, MAMA POROJO, wananchi wa Kawe wanajisemea wenyewe.
Huko Mzimuni ni wapi?
Hapa sehemu hizo za Mbezi hakuna barabara, si za halmashauri wala tanroads.
Wananchi wanachanga mpaka wamechoka.
Hongera Serikali kwa kupeleka mradi.