Halima Mdee afanyiwa upasuaji na kutolewa uvimbe tumboni, alazwa Agha Khan

Get well soon mkuu,fikra na mawazo yako yalepeke katika jamii unayoiongoza ilo tatizo angekua kalipata mama wa kijijini anaetokea familia duni ingekuaje???

Ni muda mwafaka kuisimamia serikali kuboresha huduma za afya kuna uhaba mkubwa wa vitendea kazi
 
Mwenyezi Mungu aendelee kumpigania na afya yake izidi kuimarika
Amen
 
Kwa hiyo wameng'oa kabisa!!
 
Maisha hayana dressing kabisa inakuwaje mtu na mkewe wafanyiwe upasuaji ndani ya muda mfupi.
 
Eti oh serikali haijafanya lolote kwenye sekta ya afya, ha ha ha.
 
Ningeshangaa kama Esther Bulaya asingekuwa karibu kucoment.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…