Halima Mdee achukizwa na viongozi wa dini kuongea na Rais, ataka waumini wao wasiende kusali

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,208
42,068
Baada ya Viongozi wa dini kwenda IKULU na kutoa maoni yao kama watanzania kama vile wakina Baba Askofu Bagonza wafanyavyo.....na chadema wafanyanyo wakitekeleza demokrasia..... Swala hii limemkera sana Mdee na kuandika haya na bila kusahau kuwatukana viongozi wa dini baada ya kuongea wasiyopenda kuyasikia.

Hivi kuna kilevi anatumia Halima Mdee?

Halima mdee ameandika haya

"Halima James Mdee Retweeted Boniface Jacob
Tuna MANABII wengi WA UONGO !! Na WACHACHE sana ni WA UKWELI... Waumini tuna wajibu wa KUWATAMBUA MANABII wa UKWELI na KUJUMUIKA NAO!! Hawa wanafiki/wafanyabiashara wa kiroho wakiachwa peke yao na NYUMBA zao za IBADA AKILI ITAWARUDIA."
 
Ujumbe murwa kabisa wachumia tumbo kama Kakobe Lusekelo
 
Back
Top Bottom