Hali ilivyo nchini Kwa Sasa

KISS 100

JF-Expert Member
Apr 27, 2021
527
1,101
Salamu ndugu zangu.Tuwe wakweli Kwa Sasa Kwa asilimia kubwa Kuna haya mambo yameshamiri Kwa Sasa.
Wataalamu yatafutieni ufumbuzi
1.Umeme imekua kero
2.Sukari imekua anasa
3.Dollar imeadimika sana
4.Hali ni ngumu mtaani
5.Vijana hawana Ajira
6.Mfumuko wa bei nchini
7Mafuta ya Petrol na Diesel
 
Ongezea uhaba wa maji kwa Dar na kupanda kwa bei ya vitunguu.
 
Salamu ndugu zangu.Tuwe wakweli Kwa Sasa Kwa asilimia kubwa Kuna haya mambo yameshamiri Kwa Sasa.
Wataalamu yatafutieni ufumbuzi
1.Umeme imekua kero
2.Sukari imekua anasa
3.Dollar imeadimika sana
4.Hali ni ngumu mtaani
5.Vijana hawana Ajira
6.Mfumuko wa bei nchini
7Mafuta ya Petrol na Diesel
Hayo yote uliyoyasema sio shida mana ni ishu ya dunia nzima
Tatizo tulilonalo kwa sasa kama taifa serikali inaendelea kutupa elimu inayotutoa ujinga na sio elimu inayotupa maarifa

Matokeo yake kumekuwa na makundi ya vijana wengi kufanya shughuli moja mfano bodaboda na umachinga

huko duniani wenzetu waliopewa elimu stahili wanakuja na technolojia mpya kila siku
 
Sukari na kukatika kwa Umeme ni ishu ya Dunia nzima daah..
 
Hayo yote uliyoyasema sio shida mana ni ishu ya dunia nzima
Tatizo tulilonalo kwa sasa kama taifa serikali inaendelea kutupa elimu inayotutoa ujinga na sio elimu inayotupa maarifa

Matokeo yake kumekuwa na makundi ya vijana wengi kufanya shughuli moja mfano bodaboda na umachinga

huko duniani wenzetu waliopewa elimu stahili wanakuja na technolojia mpya kila siku

nitajie nchi zenye shida ya sukari, maji ya kunywa au hata umeme tu ukiondoa war torned muslim countries kama syria, irak, somalia, yemeni, maurtania au chad, tanzagiza hatuna tofauti na somalia kwanza watawala wetu wanatokea huko …
 
Kijana nenda kijini ukalime kama maisha unayaona magumu.
Sasa Kijijini kwenyewe Nauli zimepanda 😆
Pembejeo za kilimo ziko juu, Kwa sasa hakuna Mvua za kutosha na Kwa kilimo cha umwagiliaji Petrol na Diesel zimepanda bei..

Ukishamaliza kulima kwa shida na kwa gharama bado ukivuna Utapangiwa Bei ya Mazao yako..
Na Zingatia Bei ni ndogo sana kuliko Ghrama uliotumia...

Hi ndo Ile kote kote kuna Shida hakuna kijijini wala Mjini..

Hii inaitwa UCHICHIMAME wale UCHIKAE,
Ukichimama NCHALE, Ukikaa NCHALE, Na ukichuchumaa nchale..

Blessed Son
 
Mama anaupiga mwingi
Sasa Kijijini kwenyewe Nauli zimepanda 😆
Pembejeo za kilimo ziko juu, Kwa sasa hakuna Mvua za kutosha na Kwa kilimo cha umwagiliaji Petrol na Diesel zimepanda bei..

Ukishamaliza kulima kwa shida na kwa gharama bado ukivuna Utapangiwa Bei ya Mazao yako..
Na Zingatia Bei ni ndogo sana kuliko Ghrama uliotumia...

Hi ndo Ile kote kote kuna Shida hakuna kijijini wala Mjini..

Hii inaitwa UCHICHIMAME wale UCHIKAE,
Ukichimama NCHALE, Ukikaa NCHALE, Na ukichuchumaa nchale..

Blessed Son
 
Salamu ndugu zangu.Tuwe wakweli Kwa Sasa Kwa asilimia kubwa Kuna haya mambo yameshamiri Kwa Sasa.
Wataalamu yatafutieni ufumbuzi
1.Umeme imekua kero
2.Sukari imekua anasa
3.Dollar imeadimika sana
4.Hali ni ngumu mtaani
5.Vijana hawana Ajira
6.Mfumuko wa bei nchini
7Mafuta ya Petrol na Diesel
Lowassa alisema. Ukosefu wa ajira kwa vijana ni bomu linalokuja kulipuka
 
Hayo yote uliyoyasema sio shida mana ni ishu ya dunia nzima
Tatizo tulilonalo kwa sasa kama taifa serikali inaendelea kutupa elimu inayotutoa ujinga na sio elimu inayotupa maarifa

Matokeo yake kumekuwa na makundi ya vijana wengi kufanya shughuli moja mfano bodaboda na umachinga

huko duniani wenzetu waliopewa elimu stahili wanakuja na technolojia mpya kila siku
Sio Dunia nzima Mkuu Ngoja nikupe Mfano:
Wakati sisi Tunalalamika Umeme hakuna hapa kwa majirani zetu Kenya wameshusha gharama ya manunuzi ya umeme kwa kwa kila unit..

Sukari zanzibar (ambayo ni sehemu ya Muungano) bei ni kuanzia 2000. Mpaka 3000 kwa kilo na ipo ya kutosha..
Hata zambia na malawi Sukari ni 2500 mpaka 3000 kwa kilo nenda Tunduma ukanunue..

Kwanini mnakuwa mnapenda kujidanganya au kudanganywa na Sentensi ya Dunia Nzima .."Hii ni uongo watu tupo.huko Dunia nzima na hali haiko Ngumu kama ilivyo.Tanzania"
 
Back
Top Bottom