Hali ya uchumi wa wananchi wa kawaida na mabadiliko ya sheria mpya ya kuagiza magari

Kyomo

New Member
Aug 11, 2011
4
0
Wanajamii forum tujadili swala la kupunguza muda wa gharama za uchakavu gari kutoka miaka 10 hadi 8, kutokana na kushuka kwa thamani ya fedha ya tanzania kuliganisha na dola/ euro. Je kwa sisi wenye kipato kidogo au cha kati tutaweza kununua gari lililotumika kuanzia miaka 8 kweli, maana naona ili uweze kuagiza gari bila uchakavu utahitaji kununua gari la mwaka 2005-2012. ??????

Mimi naona kama gharama za ununuzi zitakuwa kubwa vile


Mwanajamii Forum -Mafinga
 
Mkuu Kyomo, ule usemi wa Cheap is always expensive haukwepeki, nafikiri ni sera nzuri tu yakupiga vita yakufanya nchi yetu shimo la taka. Ukiangalia kwa karibu utagundua utumiaji wa mafuta kwa gari kuu kuu na ule wa gari jipya ni tofauti sana. Ndio maana mataifa mengine yameamua kuweka kodi kubwa kwenye magari ya zamani (used) na kodi kidogo sana kwenye magari mapya, kwa mwananchi wa kipato cha kati kiuchumi ukijiongezea kausafiri chakavu umejipeleka shimoni, weka bajeti yako vizuri agiza kitu cha uhakika. Wasalimie mafinga.
 
Back
Top Bottom