Hali ya mtu kuongea peke yake inasababishwa na nini?

Nina tabia hio wakati mwingine lakin mm sioneshi vitendo wala sauti kubwa kiufup ni introvert yan wale wanaofikiria sana amezoea sana kifikir na pia watu wa aina hio huwa na utatuz mkubwa wa matatzo na ukionq hivo ujue qnahitaj mtu wa karbu na mara nyng akipata mtu wa aina hio basi itakua saf sana na ukiona waondoka lakn bqdo anaongeq ujue hakumalza aliokua anasema au mipango yake kichwani sio ugonjwa wala nn kwa wakat fulan mtu kuongea peke ake na mara nyng akikaa kimya basi hataonhea sana kiufup n ana mambo meng kichwan yan sauti ya mawazo yake n kubwa kuliko mawazo ya watu wakaawaida so inamfanya ahame kimawazo
Anaebisha aje na fact hapa but aio wote ila mara nyng watu wa hivo wako hivo
Okay👍
 
Mwambie akubaliane na hali yake. Huyo hata akipewa bilioni ataishia kukurupuka na mipango mingi. Aombe sana Mungu ampe utulivu wa akili. Wewe pia funga siku 4 bila kula na kunywa kujiombea ujinga ukutoke. Mtu ana tatizo unasema hana??
 
1) Mwana saikolojia wa kisekula (mzungu} katika Tafiti yake imehitimisha kuwa binadam wote tunaongea pekeyetu kwa uwiano wa asilimia kumi ya kila siku, aidha asilimia kubwa kati ya hizo kumi bila sauti na asilimia chache kwa sauti.

Kwa hiyo asijidanganye mtu kuwa haongei peke yake na anapomfuma mwenzake anaongea peke yake wala asijidai kuwa hicho ni kituko.

2) Mwana saikolojia wa Kiarabu (elimu ya Kiislam ambao ndiyo mabingwa wa Saikolojia duniani na ndiyo watafiti wa mwanzo wa elimu ya saikolojia anasema binaadam wakati wote anaongea na nafsi yake na akilala nafsi yake inaendelea kuongea nae, kwa hiyo kuongea pekeyetu ni muda wote, hata tukiwa tunaongea na mtu au watu wengine hatuwachi kuongea pekeyetu.

Of course nakubaliana na Mwarabu aka DP World.
 
kadri siku zinavyoyoyoma hio hali itakua ya kawaida miongoni mwetu mana hata mimi nmeanza kuongea mwenyewe sometimes najiuliza vitu vinavyoniumiza sana... ni aina ya stress
 
Afike kituo cha afya ya akili katika hospital za rufaa mkoa wowote alipo.
 
Back
Top Bottom