Hali ya mtu kuongea peke yake inasababishwa na nini?


Hivi, huwa ukiongea peke yako unaongea na nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mazungumzo yasiyosikika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kipindi hali hii nilikua nayo, nikiwa naishi eneo fulani mkoani pwani, kuna sehemu nilikua namiliki shamba, sasa kila ninapokua njiani kwenda shamba, nilikua napiga stori peke yangu.

Na stori inakuwa tamu, mpaka safari nilikua naiona fupi.
 
Umenichekesha sana mkuu. Eti hana tatizo lo lote la akili wakati anajiongelesha peke yake tena wakati mwingine kwa vitendo kabisa...😁😁😁

Shida yetu huwa tunadhani kuwa mtu kuwa na tatizo la akili ni mpaka atembee uchi, aokote makopo au aokoteze chakula kwenye majalala. Kwenye ishu ya mental health yaani bado tuko nyuma mno...mpaka pale mtu akifanya mambo ya ajabu ndo utasikia "mbona jamaa alikuwa poa tu" ....

Akienda hospital naamini tatizo lake litagundulika na anaweza kusaidiwa maana huko anakoelekea sidhani kama ni kwema.

View attachment 2668294
🤯🤯🤯🤯
 
Mama mwenye nyumba na ndugu zake wa 4,nao hivo hivo,unaweza sena kuna watu wanapiga story kumbe ni yeye anaongea peke yake uko nje,mnataka kunambia nao machizi?
 

Hivi, huwa ukiongea peke yako unaongea na nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaongea mwenyewe, inaweza kuwa marejea habari au matukio uliyoyashudia.
 
Back
Top Bottom