Hali ya msanii Matumaini ni tete

Hali ya msanii Matumaini ni tete

Joined
Aug 12, 2011
Posts
7,150
Reaction score
14,724
Hali ya Msanii wa vichekesho maarufu kwa jina la MATUMAINI ni tete,
Pesa zimeanza Kuchangishwa ili atoke Msumbiji alikokwenda na kuja
Bongo kwa ajili ya Matibabu...
 
Mungu ni mwema na kwa maombi yetu sina shaka atamrejeshea afya yake kama ilivyo kuwa hapo mwanzao
 
Matumaini ndio nani?.....anyway Mungu amjalie afya njema
Humjui?
matumaini.bmp
 
Alienda Msumbiji kufanya nini? Tunamuomba Mungu apone haraka.
 
Suluhisho sio kutembeza bakuli kila wakati msanii akiumwa, inatakiwa kuimarisha huduma za afya ili hata yule mtanzania aliyeko pale Dumila au pale Ikungulyabashashi atibiwe na apone. Namuombea huyo msanii afya njema lakini niko skeptical
kwenye hii tabia ya kuona ugonjwa na mazishi ya wasanii ni bora kuliko watu wengine. Wakati akina Hamis Thobias Gaga au James Tungaraza wanaugua na kufa hakuna mtu aliyejitokeza kuwasemea just kwa vile sio wasanii. After all kwenye sanaa zenu mnapata sana hela muanze kufikiria na vitu kama BIMA ZA AFYA.
 
Alienda Msumbiji kufanya nini? Tunamuomba Mungu apone haraka.

Kuna siku alipiga simu kipindi cha hotmix EATV alidai anatafuta maisha migodini msumbiji.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mungu ni mwema na kwa maombi yetu sina shaka atamrejeshea afya yake kama ilivyo kuwa hapo mwanzao

Kila kitu ni mpango wa Mungu...
So hata ugonjwa unaomsumbua pia ni mpango wa Mungu.

Huyu Mungu jamani ambaye anawatesa watu ni Mungu kweli au kanjanja?
 
matumaini.bmp

huyo aliye bebwa mgongoni ndo Matumaini alipowasili uwanja wa ndege wa mwalimu J.K
 
Biashara isiyolipiwa ushuru ni marufu sana huko mtipweshi kunakochimbwa madini kuna biashara nyingi huko nampa pole sana mungu atamjalia apone mapema bt asirudi tena mtipweshi ambiwe tu.
 
Aisee,,,ndugu washakata tamaa,,ka vile washajua hatma itakuaje.
 
Biashara isiyolipiwa ushuru ni marufu sana huko mtipweshi kunakochimbwa madini kuna biashara nyingi huko nampa pole sana mungu atamjalia apone mapema bt asirudi tena mtipweshi ambiwe tu.
Ni biashara gani alienda kufanya huko?
 
Ni ngumu kusema ila kama vile upungufu wa kinga mwilini kwa hio miguu inamsumbua
 
Back
Top Bottom