Hali ya kia bado hovyo hovyo kuliko

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
KIA PIC.jpg



PIC KIA.jpg



Nipo safarini kuelekea Samunge kwa Babu, napitia hapa (KILIMANJARO INTERNATIONAL AIRPORT (KIA), najikia kwenda maliwatoni. Naingia hapa maliwatoni (GENTS), napokelewa na harufu kali sana ya kutisha, navumilia tu kwa kuwa sin jinsi..napojisogeza nakutana na hali mbaya zaidi. Vyoo vimefulika kuanzia kwenye sehemu ya haja ndogo na ile ya haja kubwa ..hali ndio hivi.

Hiki ni kiwanja cha Kimataifa na kina pokea zaidi ya watalii 100 kila siku.
 
pole ngoswe, umetimiza wajibu wako wa kusema. natumaini wahusika waona hii thread na kuchukua hatua muafaka.

halafu kuna watu bado wanashangaa kwa nini watalii waopanda mlima kilimanjaro wengi wao hupitia jomo kenyatta interl airport!!
 
kaka hilo ni zoezi tosha la kukufua kabla ya kutua samunge ambako ku-DUU lazima uingie poli ukakate gogo
 
Back
Top Bottom