Hali ya Kamanda David Silinde taabani Jimboni kwake-Mbozi

Lizaboni

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Posts
33,901
Reaction score
20,410
Hali inazidi kuwa mbaya kwa mbunge David Silinde jimboni kwake .

Wakati muda unazida kwenda bado hajatekeleza ahadi hata moja alizoahidi mfano kuleta maji jimboni kwake.

Pengine ni miujiza tu ndiyo inaweza kumkwamua kuweza kurudi tena bungeni.

Kama hakuna nguvu za ziada zikiwemo nguvu za giza Silinde ndiyo basi tena bungeni.
 
Arusha mlisema hivyo hivyo kuwa wana Arusha wameichoka CDM lakini kilichotokea umekiona, kumbuka Watanzania wa sasa sio wa miaka ya sabini tangu lini Mbunge akapeleka maji jimboni kwake Serikali ina wajibu gani na je nitajie jimbo lolote lenye mbunge wa CCM ambae amepeleka maji jimboni kwake kwa nguvu na fedha zake.
 
Mkuu acha ushabiki wa kijinga. Kama aliahidi kuleta maji unataka asiambiwe. Acha wehu kunguru wewe....
 
Mbona kama wewe ndio kunguru maana haiwezekani mbunge kuleta maji kwa kutumia fedha zake za mfukoni tumia akili kidogo maana naona unatuchafua sisi wapigakura wa CCM tuonekane hatujui kufikiria! Jukumu la serikali ni kupeleka vitu muhimu kwa wananchi wake hata kama jimbo liko upinzani!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Naungana na wewe; kwa maneno ni sahihi, kivitendo tunadanganyana. Tembelea maeneo ya wapinzani na yale ya CCM kisha ulete majibu hapa!
 
Sawa, tutakusimamisha wewe ugombee!
Nasikia ulivyokuwa Monita, darasa la Vi uliwanunulia wanafunzi wa darasa lako madawati
 
Mkuu acha ushabiki wa kijinga. Kama aliahidi kuleta maji unataka asiambiwe. Acha wehu kunguru wewe....
Unaweza ukawa umejivesha akili za Kondoo au Nguruwe kwa kutokujua wajibu wa Mbunge na wajibu wa Serikali na kwa jinsi ulivyo sidhani kama utaondokana na umbumbumbu ulionao na kama ni mzazi wa famili utaiharibu familia yako kwani mzazi ni kiungo muhimu sana kwa maendeleo ya Familia.
 
Arusha mlisema hivyo hivyo kuwa wana Arusha wameichoka CDM lakini kilichotokea umekiona, kumbuka Watanzania wa sasa sio wa miaka ya sabini tangu lini Mbunge akapeleka maji jimboni kwake Serikali ina wajibu gani na je nitajie jimbo lolote lenye mbunge wa CCM ambae amepeleka maji jimboni kwake kwa nguvu na fedha zake.
Magamba yanapandikiza dhana kwamba mbunge ndio analetea watu maendeleo ili wachaguliwe kwa kuhonga wananchi hela walizopata kifisadi.
 
Hiyo miujiza unayoisema ipo huko huko CCM na ndiyo mnao hadi wabunge wataalamu wa mambo ya giza.Mfano, Prof.Maji Marefu hivyo usidhani kila chama kinategemea ushirikina kwani sisi wengine tunamtegemea Mungu.Tunajua umetumwa ili kujua mipango ya maendeleo imekaaje ili mdivert sera, nenda kawaambie nimeshindwa!
 
Silinde alishinda 2010 na ameshashinda 2015 pia..
Kama ccm wana akili nzuri ni bora wasipoteze raslimali watu na fedha kuhangaika na jimbo la Silinde!
 
hali inazidi kuwa mbaya kwa mbunge david silinde jimboni kwake .

wakati mda unazida kwenda bado hajatekeleza ahadi hata moja alizoaahidi mfano kuleta maji jimboni kwake.

Pengini ni miujiza tu ndiyo inaweza kumkwamua kuweza kurudi tena bungeni

Kama hakuna nguvu za ziada zikiwemo nguvu za giza silinde ndiyo basi tena bungeni.

Mbona magufuli wenu mwaka wa 20 huu jimboni mwake hakuna maji wakati yupo karibu na ziwa??
 
hali inazidi kuwa mbaya kwa mbunge david silinde jimboni kwake .

wakati mda unazida kwenda bado hajatekeleza ahadi hata moja alizoaahidi mfano kuleta maji jimboni kwake.

Pengini ni miujiza tu ndiyo inaweza kumkwamua kuweza kurudi tena bungeni

Kama hakuna nguvu za ziada zikiwemo nguvu za giza silinde ndiyo basi tena bungeni.

Hivi inakuaje unaleta hoja kama hii kuja kutudanganya waziwazi na mchana kweupe?

Yaani unataka kutuambia kuwa ni jukumu la David Silinde kuchimba visima au mabwawa ya maji pamoja na kujenga mtandao wa mabomba ya maji hayo kweli!???

Au unamaanisha kinyume chake kwamba serikali iliyoko madarakani chini ya CCM imeshindwa kutekeleza ILANI na SERA zake kuhusu sekta ya maji si tu Mbozi kwa David Silinde bali nchini kote??

Nimekudharau sana na hii ni uthibitisho kuwa wewe kila unachokileta humu ni uongo na ujinga mtupu!!
 
Back
Top Bottom