Hali ya hewa ya Mbeya inakera sana

Waafrica akili hatuna
 

Hamna kivipi?
Tuna lalamikia fursa...kila jambo jema kwetu linakuwa shida ...hiyo mikoa yenye baridi na mvua muda wote ni faida kubwa kwa taifa tatizo ni serikali zetu pumbavu mfano hata tunashindwa kujua utofauti wa ujenzi wa shule kwenye mikoa ya baridi na mikoa ya joto ...tunajenga shule katika mfumo mmoja.
 
kimaisha yako chini basi hili ndo muhimu mengine yanavumilika
 
Huko Raha sana tuliokuzoea na kukulia hata tukienda Nchi za Scandinavia hatuna hofu ya baridi maana ni kama nyumbani!,Hamu ya kula ni lazima haina haja ya pilipili Wala booster!
 
Pole sana mkuu
 
Bora hata nilihama nimewamiss wanangu wa nzovwe,nonde kuna mwamba mmoja anauza bangi kule nonde makaburini kwa juu ukikaa kule unalitazama jiji kwa chini vizuri zaidi ukae giza likiingia mnavuta bangi mnarud nyumban mnatembea umbali mrefu unaweza kuta stimu inakata njiani jamaa ana bangi kali yule kuna cku nilivuta bangi nikapitiliza home sasa nina miaka mitatu nimeacha kama kuna kijana anashawishika aanze kuvuta bangi aachane nayo
 
Ila kwa hapa Mbeya
Hakujaifikia baridi iliyopo Umalila
Yaani kule ni kiboko🙌🏿
Inatgemea na umalila ipi sister ,Kuna ilembo ,shizuvi ,shisyete na santilya huko ndiko baridi linashindana kuuwa watu ila Isuto ,Ilindi ,Iwowo ,Igarukwa na Iyenga hakuna baridi la kutisha ni sawa na mbeya mjini tu kijoto kipo na huko ndiko tulikojazana walevi wa ulanzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…