Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,572
- 235,412
Hiyo sehemu uwa imebanana sana Malaya kama woteNdo nipo JJ hapa
Yaani napafahamu haswaaaaπππnikaenda kabwe pale shopping ya masweta na makoti naondoka nikayaacha huko huko kwa bro akiba haioziNi kutembea na mafutaaanii
Tena mafuta mgando yanayowekwa glycerin.
Vinginevyo unapauka kama kengeπ
Miguu inachanika
Yaani hovyo kabisa, unachapwa baridi kama imekopwa toka IMF
Naishi Singida kipindi hiki kuna baridi la kusenge sana juzi nimefika Mwanza (home) amani kama peponi hewa moja safiiMUNGU fundi sana Mwanza imebalikiwa ali ya hewa
kikondo unapajua hapo ndio funika nchi nzima hakuna sehemu ina baridi kali kama kikondoHilo baridi la Rungwe na Mbeya analolalamikia kwa kule ni chamtoto dadeki.
Miezi kama hii kuna siku ikiamua ni ukungu siku nzima, hata jirani humuoni.
Wakuu habari za muda huu?
Mada yangu inajikita kwenye Hali ya hewa ya mkoa wa Mbeya hasa Rungwe na Mbeya mjini.
Mkoa wa Mbeya kiufupi hauna kipindi Cha kilele Cha kumuacha mtu awe huru badala yake watu ni watumwa wa Hali ya hewa kuanzia January Hadi September kila mwaka.
A. Kuanzia January Hadi April - mvua za muda mrefu na manyunyu yasiyo na ukomo
Changamoto:- Tope, maji kutuama hovyo kutokana ubovu wa miundombinu maeneo mbali mbali kama vile Kabwe, Mwanjelwa, Ituha n. k
- kukosa uhuru wa matembezi na mazoezi hasa jogging
- kuvaa masweta, jacket na Makoti muda mwingi
B. Kuanzia Juni Hadi Agosti - Baridi Kali sana na upepo ukiambatana na vumbi maeneo mengi ya mji.
- kiukweli ukiacha maeneo kama Njombe, Mafinga, Arusha n. K, basi Mbeya Kuna Baridi ya hovyo sana.
Mfano Leo ( jumatano, Julai 9, 2025) jotoridi ni 9Β°C
Changamoto: kama una afya mgogoro lazima uibuke na homa, kupauka na kukauka hovyo ngozi ( kuwa kijivuπ)
- muda wote uvae Sweta zito, jaketi au koti.
- matembezi hayafai kabisa, ni kukaa ndani baada ya kazi.
C. Mwezi Septemba Hadi Novemba- jua Kali na vumbi.
- ukivaa vizuri uwe na usafiri wako, usitembee umbali mrefu.
Pamoja na karaha za mkoa huu, Mbeya Ina Raha zake.
1. Vyakula bei nafuu.
Mfano, viazi ( vitamu na mviringo), matunda bwerere ( ndizi, parachichi, tikiti maji, n. k), mahindi, mihogo, Michele,
- Nyama hasa kitimoto Kwa walaji wake.
2. Starehe.
- viwanja muhimu Kwa wapenda starehe kama vile MBEYA PAZURI, NASOMA, MWAIRUBI, Baa maarufu kama JJ Njora n. k.
Nilitaka kufa na baridi Toronto. Yaani haki ya nani mapumbu yanapotea na ukivuta hewa inakuchoma mpaka mapafuni. Halafu nikajichanganya eti wiki tatu Minnesota wakati wa Winter. Mbona nilirudi Misungwi kwa miguu? Lakini wenyeji wao wanaona tu kawaida. Nilishangaa sana!Wewe basi huwezi kuishi China wala Norway
NASOMA kiwanja kikali sana sema hawana parking.Wakuu habari za muda huu?
Mada yangu inajikita kwenye Hali ya hewa ya mkoa wa Mbeya hasa Rungwe na Mbeya mjini.
Mkoa wa Mbeya kiufupi hauna kipindi Cha kilele Cha kumuacha mtu awe huru badala yake watu ni watumwa wa Hali ya hewa kuanzia January Hadi September kila mwaka.
A. Kuanzia January Hadi April - mvua za muda mrefu na manyunyu yasiyo na ukomo
Changamoto:- Tope, maji kutuama hovyo kutokana ubovu wa miundombinu maeneo mbali mbali kama vile Kabwe, Mwanjelwa, Ituha n. k
- kukosa uhuru wa matembezi na mazoezi hasa jogging
- kuvaa masweta, jacket na Makoti muda mwingi
B. Kuanzia Juni Hadi Agosti - Baridi Kali sana na upepo ukiambatana na vumbi maeneo mengi ya mji.
- kiukweli ukiacha maeneo kama Njombe, Mafinga, Arusha n. K, basi Mbeya Kuna Baridi ya hovyo sana.
Mfano Leo ( jumatano, Julai 9, 2025) jotoridi ni 9Β°C
Changamoto: kama una afya mgogoro lazima uibuke na homa, kupauka na kukauka hovyo ngozi ( kuwa kijivu[emoji23])
- muda wote uvae Sweta zito, jaketi au koti.
- matembezi hayafai kabisa, ni kukaa ndani baada ya kazi.
C. Mwezi Septemba Hadi Novemba- jua Kali na vumbi.
- ukivaa vizuri uwe na usafiri wako, usitembee umbali mrefu.
Pamoja na karaha za mkoa huu, Mbeya Ina Raha zake.
1. Vyakula bei nafuu.
Mfano, viazi ( vitamu na mviringo), matunda bwerere ( ndizi, parachichi, tikiti maji, n. k), mahindi, mihogo, Michele,
- Nyama hasa kitimoto Kwa walaji wake.
2. Starehe.
- viwanja muhimu Kwa wapenda starehe kama vile MBEYA PAZURI, NASOMA, MWAIRUBI, Baa maarufu kama JJ Njora n. k.
Aah umenikumbusha yule demu kali Kisa Mwambapa wa pale Majengo.Kisa
Aah umenikumbusha yule demu kali Kisa Mwambapa wa pale Majengo.
ππ eti namba wanahesabu saa sita mchanaMi nimesoma pale njoss mkuu...
Kuna jamaa angu alikua anasoma shule gani ila ipo njombe ndani ndani aiseeee ile shule kwanza namba wna esabu sa sita mchana
Mkuu njombe kuna bardi wewe...ππ eti namba wanahesabu saa sita mchana