Mtu alipelekwa boarding school ya single sex kuanzia akiwa Darasa la kwanza hadi anamaliza Form Six. Wewe uliyekutana ndani ya wiki 2 , hamjaonana siku 4 tu, anakwamba amekumisi na wewe unaaminiHabari za Sabato!
Kwa kweli hali ya hewa ya jiji la Chalamila inashawishi sana.
Nawasiliana na wanasheria wananiambia hapa kuwa leo ukifanya makosa sheria zitaangalia. Sasa sijajua kama ni kweli au laa. Maana hawa Wanasheria siku hizi wa ChatGPT wanaweza kukuingiza mkenge ukabaki unabung'aa.
Hali ya hewa inashawishi. Na nimeshawishika.
Hallelujah