Dah, hali ya hewa inanishawishi
Hakuna mtu tusaidiane kuimalizia hii siku tulivu?
duh pole jidada... mtafute zombie!!!!! teh teh .....
🙂 I wanna make them dance - Keko 🙂
huyu naye anaandika ukuta wa uso??
Mie huwa naona watoto wanachora mapicha picha pale mlimani city
duh pole.. nawe wataka hivi pia??????
nataka hiyo na tutembee tembee tu tumeshikana mikono.
Afu tunamalizia na naniiii
nataka hiyo na tutembee tembee tu tumeshikana mikono.
Afu tunamalizia na naniiii