hali ya hewa hapo ulipo


Mkuu rombo

Mkuu rombo

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Messages
1,559
Points
1,225
Mkuu rombo

Mkuu rombo

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2012
1,559 1,225
salamu sana wakuu
siku ya leo huku mkuu rombo juwa limekuwa kali sana kuna vumbi la kufa mtu
embu 2pe update za hali ya hewa hapo ulipo
nawasilisha

update za leo

leo asubui hapa rombo baridi ilikuwa kali sana cha kushangaza ilipo fika saa 5 juwa limewaka na kuwa kali sana

hapo ulipo hali ya hewa ikoje wakuu
 
kiwatengu

kiwatengu

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Messages
14,900
Points
2,000
kiwatengu

kiwatengu

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2012
14,900 2,000
mi hapa namshangaa tumbo kubwa wassira na jinsi anavyotudanganya..he is the one the topiest gamba! zee zima talk pumba..xo kashachafua hali ya hewa hapa. tbc1 gamba
 
M

mkupuo

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Messages
1,240
Points
1,500
M

mkupuo

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2012
1,240 1,500
salamu sana wakuu siku ya leo huku mkuu rombo juwa limekuwa kali sana kuna vumbi la kufa mtu embu 2pe update za hali ya hewa hapo uliponawasilisha
Mkuu mimi nipo hapa Shinyanga na mvua inanyesha sana tangu mchana wa saa 7 hadi usiku huu.
 
chokambayaa

chokambayaa

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
535
Points
195
chokambayaa

chokambayaa

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
535 195
Niko Njombe manyunyu yaliitwanga mchana kutwa sasa kuna kibarid lazima utupie blanket
 
juve2012

juve2012

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
3,337
Points
1,250
Age
38
juve2012

juve2012

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
3,337 1,250
Niko Njombe manyunyu yaliitwanga mchana kutwa sasa kuna kibarid lazima utupie blanket
dah!na hili joto la bongo nakuonea wivu!mamaa yupo pembeni hapo bila shaka..!
 
chokambayaa

chokambayaa

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
535
Points
195
chokambayaa

chokambayaa

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
535 195
dah!na hili joto la bongo nakuonea wivu!mamaa yupo pembeni hapo bila shaka..!
Mkubwa niko kikazi tuu huku ivo nko single, yaan usiombe kuwa single tabu tupu
 
Mkuu rombo

Mkuu rombo

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Messages
1,559
Points
1,225
Mkuu rombo

Mkuu rombo

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2012
1,559 1,225
aisee babangu huku kwetu ni mwendo wa juwa 2 yani vumbi kwenda mbele
 
Mkuu rombo

Mkuu rombo

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Messages
1,559
Points
1,225
Mkuu rombo

Mkuu rombo

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2012
1,559 1,225
Niko Njombe manyunyu yaliitwanga mchana kutwa sasa kuna kibarid lazima utupie blanket
aiseeeeeeeeeeeeeee babaangu huyo jamaa anayezomea hapo amenitisha kishenzi embu mwambie aache bwana anatisha
 
Mkuu rombo

Mkuu rombo

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Messages
1,559
Points
1,225
Mkuu rombo

Mkuu rombo

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2012
1,559 1,225
nawasiwasi haya maindi 2lio panda msimu huu sijui kama yatastawi coz hii hali ya hewa si nzuri kabisa

ngoja nikakate kiu na mbege baridiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 

Forum statistics

Threads 1,283,662
Members 493,764
Posts 30,796,057
Top