asante dada mkubwa
kwa kuliongelea hili maana
sio siri wengi tulikwazika
lkn hatukuweza kusema kuogopa vijembe
vya wakaka
nakubali wachfuke lkn wasichafue wengine babuuu.............
Wee kila siku utaona mara nipen sifa za wanawake wa kiamchame, mara ooh mabinti wa kichaga hawajui mapenzi, mara ooh makwapa ya wanawake ni meusi, mara ooh wanawake ni magogo kitandani utafikiri yy ni mti basi useme upepo ukija utapeperusha matawi.
Hii tabia ni mbaya na haivumiliki iachwe mara moja
hilo hata mi nimeliona, ile siku zahra white alipoanzisha mada ya kudate mwanaume wa age 35+ akionyesha kuwa disapointed na walio na age chini ya hiyo, kuna kaka akaanzisha mada akipondea ladies 18-twenty somethn kwamba ni goigoi. ukisoma ile thread, (between the lines) utaona kama alikuwa anamjibu zahra white
Boss the lothario🙂
ata kama ulikwazika so ndo ukaamua kumtukania yule arch bishop mama yake kwenye uzi wangu.? Nitabia mbaya sana iyo ulinikera mpaka nika kuripoti...mambo ya mmu unawahusirha mpaka wazazi alafu huku unajifanya mtukufu weweeee chunga ndimi yako iyo.
Mmu mmeanza kuparurana sio? Safi kabisa mkimaliza kung'oana kucha na meno njooni chitchat mpumzike.
Good evening wakaka na wadada wa mmu.
Ph-25kenge kweli wewe mlianza kurumbana nyie wawili,ulipoona maji shingoni ndo ukamtukania mama yake.?we -------- kweli ugomvi wenu wakijinga unamuhusisha mzazi.? Alafu nikae kimya nisikukanye.? Kama umeolewa mumeo ana hasara sana,anaishije na mwanamke mjinga kama wewe mwenye akili matege.? Umelaanika kuliko wanawake woteeee kenge we.
Dah! MMU imefika mbali :nono:
kenge kweli wewe mlianza kurumbana nyie wawili,ulipoona maji shingoni ndo ukamtukania mama yake.?we -------- kweli ugomvi wenu wakijinga unamuhusisha mzazi.? Alafu nikae kimya nisikukanye.? Kama umeolewa mumeo ana hasara sana,anaishije na mwanamke mjinga kama wewe mwenye akili matege.? Umelaanika kuliko wanawake woteeee kenge we.
Mwanamke mwenye akili timatu kamwe hawezi kuanza kumtusi mwanaume mwenye maumbile madogo ya kiume.tatizo ndo liko hapo,mnawazarau sana wanaume wenye vibamia eti kwakua ulitembea na wanaume wa3 wenye mabusha.? Huo niujinga mkubwa mno,naamini mkianza kujirekebisha nyie na kauri zenu,hakutakua na marumbano daima humu ndani.
"some times you have to take ur gun up...so as to put some one's gun down"
hayakuhusu kaa kimya
ye aliyoyatoa ulikua unasapoti
ndio wale wale tu,mazooooooooo!!
na sikumbuki kutukana wazazi wa binadamu huku poleeee!!
mkuu nakuunga mkono wanawake wengi japo sio wote hajitambui kabisa wewe kama mke unaejielewa na unajiheshm utaanzaje kuanika siri za mwanaume hadharan? Et vibamia sasa kwann mnawafuata? Chongen mipin basi mjizamishe kwenye nyuchi zenu? Mkitajwa nyie mnaanza kulalamika et mnadharauriwa nan atakuheshmun wakat hamjiheshm?............. Tena mliokuwa mnajifanya mnanisema vbaya baadh yenu mnajulikana kabisa tupo mtaa mmoja sk atakuja kuumbuliwa mtu hapa had pcha za uchafu wake ztakuwa hadharan........ Nakuvutia pumzi ipo sk nikijakuamka na akili za usk atakuja kuumbuka mtu jifanyen wajuaji....,
Dah nyie MMU
:bange::disapointed::heh:kenge kweli wewe mlianza kurumbana nyie wawili,ulipoona maji shingoni ndo ukamtukania mama yake.?we -------- kweli ugomvi wenu wakijinga unamuhusisha mzazi.? Alafu nikae kimya nisikukanye.? Kama umeolewa mumeo ana hasara sana,anaishije na mwanamke mjinga kama wewe mwenye akili matege.? Umelaanika kuliko wanawake woteeee kenge we.