Hali ya hatari kwa maeneo ya vyuo vikuu vyote vilivyopo Dodoma

Mkuu nakuunga mkono! Kuna jamaa nlikua nae hapa Chalinze km miaka 4 hivi imepita, kapata kazi kwenye hicho chuo, alikua ni F4 ya div 4, leo hii kaniambia anamalizia bachelor degree hapo SJUT??? Not even f6 or diploma holder???? Alafu mnatuambia kuna TCU na Quality assurance....???? Shame upon you MAGAMBA Govt.....???

Mkuu nakuunga mkono 100%, hivi sio vyuo vikuu ni mauzauza.
 
Tume ya katiba bwana ana mambo!! Vyuo viko vingi mkuu hata kuvihesabu huwezi. Juzi nilikuwa Tanga nikakutana na chuo kikuu kinaitwa Eckenford! Nikapita Bagamoyo nikakutana na Bagamoyo University sijakaa sawa nikaenda huko Mbeya nao wana vya kwao kimoja kinaitwa sijui askofu nani University!! Bukoba tuna cha kwetu kwa kweri chinaitwa Bukoba University. Vyuo lukuki kila mtu ana degree mkuu! kazi kwako

Kimbunga, nakuhakikishia hivi sio vyuo vikuu ni matatizo makubwa sana. yaani div 4 tena kasoma hgl mtu anasoma
computer science? yametokea haya.

Bado unaita vyo vikuu kweli?
 
Huyu bwana hawezi kutofautisha chuo kikuu na chuo cha madrasa. Yuko sayari nyingine, kama kawaida yao. Kama anayo computer yenye internet, ambayo ninaamini anayo ndiyo sababu katapika haya matamshi, angefanya udadisi wake kwa kwenda kwenye internet na ku-''serach'' kuangalia kama kuna chuo kama hico, historia yake, mafanikio yake, n.k; nk.
 
Inaonesha jinsi gani mlivyo rahisi kushawishika, mshahama mada,topic ni matatizo yanayozunguka vyuo vikuu Dodoma,nyie mnakaa kujadili ubora wa vyuo! Are you real great thinkers?
 
Wakuu mbona mna jazba, mi nilitaka kujua maana nijuavyo mie vyuo vikuu tanzania ni UD,SUA,MZUMBE na UDOM. ukisoam huko ndio unapata degree zinazotambulika,

Vlivyobaki ni vyeti na diploma.

Pia ukilinganisha na idadi ya wanaopata div 1 na 2 kimsingi wote wanaishia UDSM na wachache kwenye hivyo nilivyoviaja hapo juu, sasa najiuliza hivi vyuo vingine wanapata wapi wanafunzi wenye sifa?

Mkuu elimu inachakachuliwa sana
Watch your mouth, udahili wa vyuo vikuu vyota nchini, kiwe cha serikali au cha binafsi unafanywa na TCU. Na vyuo vyote vinapata wanafunzi wa div 1 hadi 3 kwa equal rate. Aliyekwamba div 1 na 2 ndiyo zinakwenda DSM ni nani? Kuna div 1 kali kabisa ziko huko st John, st Augustine, Makumira etc. Na hao wanaograduate huko wanaajiliwa kwenye mashirika na taasisi zilezile zinazoajiri wanagraduate UDSM na vyuo vingine ulivyo vitaja. Na kwa bahati mbaya au nzuri hatujawahi kusikia malalamiko kwamba hawa watu wana underperform.
 
tukianza ku-chambua thamani na ubora wa Vyuo; kati ya vyuo 500 bora duniani UDSM hakimo na hata kati ya vyuo 50 kwenye ubora Africa hakimo pia; ni nini sasa kinachotufanya turumbane.

kama unaamini we umesoma Chuo bora kuliko wenzio hongera lkn nina amini kwenye soko la ajira atajulikana nani bora.
 
Hebu visit Ranking Web of World universities: Top Africa ili kuona rank za vyuo vikuu bora 100 katika Africa pamoja na ranks zake katika dunia. Pia visit Top Colleges & Universities in Tanzania | 2012 University Web Rankings ili kuona vyuo vikuu bora katika Tanzania.
 
kwa kweli great thinker wa leo mmeniudhi, awali niliona niwaache kwa style ya kuhama kwenu mada but itz useless. qoute hapo juu inatosha kumaliza mada ya listing za vyuo vikuu na ubora wake with reference kwa vyuo vya Tz, ni kweli vyuo vyetu vingi ubora wake uko chini, kuna vyuo vinavyojidhani ni vya kitaifa, kimkoa na vya kata. kuna vyuo vina miundo mbinu dhaifu na vingine vya wastani; hata hivyo miundombinu cyo kigezo kikuu cha utowaji wa kiwango cha elimu, say chuo no.2 tz ni cha kiwango cha chuo cha kata kama kilivyo hiki kinachojadiliwa!

sasa turudi kwenye mada, uporaji umekithiri vyuo vya Dodoma, case study ni SJUT, wanafunzi wengi wanaishi hosteli binafsi zinazozungukwa na chuo; huko wanavamiwa usiku wa kuanzia saa 4 wanapotoka kusoma mpaka saa 11 alfajiri vibaka wanafanya wanavyotaka!

matukio zaidi ya 10 yameripotiwa polisi wilaya, hakuna juhudi zozote zilizochukuliwa na hivyo wameamua kuacha kuripoti maana hakuna maana ya kwenda polisi. matukio ya kuanzia ijumaa ya wk jana, nyumba ina geti na drill vibaka walivamia chumba cha wasichana 2 wakaiba laptop2, simu5, pesa, modem2, flash nguo za thaman nakila ki2 kidogo cha thamani walichoona na kisha kufanya ubakaji!

pamoja na kuripotiwa polisi, kesho walifanya doria mpaka saa 4 na baaday ya hapo vibaka wakavamia wa2 wengine chumba cha hostel jiran wakaiba laptop 3, pamoja na nguo wakawafunga kamba wasichana 2 na mmoja wakawa tayari kumbaka attempt ikashindikana maana alikimbia na wakamkimbiza kama mwizi but wa2 wakaamka kumuokoa, hata hivyo walishindwa kuiba sehemu nyinginezo jirani japo na zingine walikua tayari wameshachukua vitu vidogo!

jana walivamia hostel ya wasichana chumba kwa chumba wakawaibia kila kitu pamoja na nguo, wakavamia nyumba nyingine wakabaka wasichan baaadaya kuwaibia vtu vyao vyote na kuwaacha uchi.

orodha ni ndefu mno. kinachoudhi, polisi hawaonyeshi kuguswa na tatizo hili na yamkini uongozi wilaya unahusika na matukio haya kwa sababu:
  • pamoja na kutolea taarifa na kufunguliwa majalada na kupeleka majina ya wahusika na wanaoshukiwa hakuna hatua zilizochukuliwa
  • katika karibu kila tukio polisi wamepigiwa simu hawafiki eneo la tukio. mfano tukio la ijumaa polisi walipigiwa simu mara 18 bila kupokelewa, ikapigwa simu dar na kisha RPC dar akapata taarifa akampigia cm RPC Dom ndo asubuhi polisi wakafika kwenye tukio
  • tukio la juzi OCD alipigiwa cm namajibu yake yalichefua; anauliza kwa nini msimkamate huyo mwizi, lindeni wenyewe, tuko kwenye doria maeneo hayohayo msiwe na wasiwasi na majibu ya kisiasa ya namna hiyo
  • matukio mengi akipigiwa OCD no action mpaka apigiwe RPC ndo atleast baada ya muda polisi watafika
wanajamii. matukio nimengi na action ndo hizi! huu ndo mjadala, kama una ndugu kwenye vyuo hivi mnavyoviita vya kata hii ndo hali halisi

TUJADILI HILO!
 
Wakuu mbona mna jazba, mi nilitaka kujua maana nijuavyo mie vyuo vikuu tanzania ni UD,SUA,MZUMBE na UDOM. ukisoam huko ndio unapata degree zinazotambulika,

Vlivyobaki ni vyeti na diploma.

Pia ukilinganisha na idadi ya wanaopata div 1 na 2 kimsingi wote wanaishia UDSM na wachache kwenye hivyo nilivyoviaja hapo juu, sasa najiuliza hivi vyuo vingine wanapata wapi wanafunzi wenye sifa?

Mkuu elimu inachakachuliwa sana

...Ndg yangu pole kwa kupitwa na wakati.Awali ya yote,unaifahamu TCU? Basi waulize wanawatoa wapi hao wanafunzi wanaowapeleka vyuo hivyo nje na uvijuavyo na wanasifa zipi?
 
duh aisee leo ndo nackia kwa mara ya kwanza matatizo kama hayo kwa chuo hicho cha St.John. Vp hali kwa babaa UDOM?
 
tukianza ku-chambua thamani na ubora wa Vyuo; kati ya vyuo 500 bora duniani UDSM hakimo na hata kati ya vyuo 50 kwenye ubora Africa hakimo pia; ni nini sasa kinachotufanya turumbane.

kama unaamini we umesoma Chuo bora kuliko wenzio hongera lkn nina amini kwenye soko la ajira atajulikana nani bora.

Mwanzoni, mjadala huu niliupa uzito mdogo. Lakni kadri unavyoendelezwa, ndivyo unavyogundua wanajamvi wanafanya makosa ya wazi wazi katika kufikiri na kuwasilisha hoja. Wanajikuta wanapiga kelele! Hebu tazama uzi huo wa PrN kazi. Hebu tazama hoja anazowasilisha hapa kwenye mstari uliokozwa rangi. Yaelekea kwake University Ranking wanaifanya kijiweni na kukuta katika Vyuo Vikuu 100 bora Afrika Tanzania hatuna hata kimoja. Mimi namshauri asiendeleze mjadala huu maana anazidi kujianika yeye na Chuo chake!!!
 
Wana JF mbona hatujadili hoja ya msingi ya utendaji wa Polisi pamoja wa wizi unaofanywa na majambazia maeneo ya vyuo vikuu Dodoma?
 
Wewe ni mbuzi kama unasoma chuo mpaka karne hii unaamini watu wanaosoma chuo ni UDSM , UDOM ,MZUMBE NA SUA TU .Hivi husomi mwongozo wa TCU kujua vyuo vilivyopo Kwa taarifa yako kuna vyuo vinadahili wanafunzi kwa passmark za juu kuliko hivyo ulivyotaja Vyuo kama MUHAS(Muhimbili) , ardhi ,BUGANDO ,KCMC ST AUGUSTIN ,IFM Kwako sio vyuo andika mtu uliyenda shule sio kukurupuka hivi wewe ni TCU unayejua ubora wa elimu ya vyuo .hivi kama vyuo ni hivyo ulivyotaja chuo cha ubora kutokana tathimini ya 2011 ni kipi kama sio MUHAS.USIPENDE KUTUKUZA CHAKO NA KUONA WENGINE WAMEPOTEA WEWE NA PAMOJA NA KUSOMA CHUO UNACHOONA BORA NI MZEE WA MADESA.

acha uongo wewe! IFM,MUHAS, KCMC vina-admit kwa passmark ya juu labda kwa ada ya juu sawa!...by the way kazi zimeshaanza kutolewa ila kuna zingine wameandika NOTE: Lazima uwe umesoma SUA,UDSM or ARDHI...
 
acha kuwa na ufinyu wa fikira: kinachoangaliwa sasa hivi ni FANI/COURSE inayoitajika na inayoweza kukupatia ajira katika soko la ajira na siyo chuo kitakachokufanya upate ajira:

ziko COURSE muhimu sana zinazoitajika hapa nchini na ziko Hot cake lkn ukienda UDSM, SUA au MU huwezi kuzipata: we unafikiri ''Bachelor Degree in Industrial Relations'' unaweza kuipata wapi kati ya hivyo vikuu unavyosema ndo unavitambua??

Acha kuwa na mawazo mgando bwana.

hiyo degree utafanyia kazi japan? We Maharagwe kweli degree zenye soko unazijua?
 
hiyo degree utafanyia kazi japan? We Maharagwe kweli degree zenye soko unazijua?

we kumbe KIPUSA, uliza ujibiwe: nenda CMA, Wizara ya Kazi au ILO-HQ Dar es salaam utasaidiwa ili uondoe UJINGA ulionao, pole sana kama hujui umuhimu wa Industrial Relations mpaka sasa.
 
Wakuu mbona mna jazba, mi nilitaka kujua maana nijuavyo mie vyuo vikuu tanzania ni UD,SUA,MZUMBE na UDOM. ukisoam huko ndio unapata degree zinazotambulika,

Vlivyobaki ni vyeti na diploma.

Pia ukilinganisha na idadi ya wanaopata div 1 na 2 kimsingi wote wanaishia UDSM na wachache kwenye hivyo nilivyoviaja hapo juu, sasa najiuliza hivi vyuo vingine wanapata wapi wanafunzi wenye sifa?

Mkuu elimu inachakachuliwa sana

Inaonekana wewe ni mvivu wa kufikiri na kutafuta information.
 
Back
Top Bottom