Hali ya hatari kwa maeneo ya vyuo vikuu vyote vilivyopo Dodoma

duh aisee leo ndo nackia kwa mara ya kwanza matatizo kama hayo kwa chuo hicho cha St.John. Vp hali kwa babaa UDOM?

Udom huwezi iba lbd waibiane wanafunzi maana chuo hacpo mtaani cimejitenga na wananchi then ulinzi ni imara maana bado cinajenngwa
 
Back
Top Bottom