Hali ya Comrade Kinana ndani ya serikali ya Ndugu Magufuli

Hali ya Comrade Kinana ndani ya serikali ya Ndugu Magufuli

ITAKUWA MIRIJA YAKE IMEKATWA KIAINA NAHSI INSU YA TUMBIL ZAID YA 50 PALE KIA INAMYIMA USINGZ
 
" Hua" = Huwa.
Lakini pia sikutaja swala la elimu. Nimeshari tu, tusipende kuandika au kuongea lugha tusizozijua vizuri hasa katika mambo ya mabishano na tafakuri.

= nimeshauri
 
Kinana hakuridhishwa na kampeni za ukanda huko kanda ya ziwa.pia anasikitishwa na jinsi Kikwete anavyotukanwa na utawala.zaidi zaidi amemaind mawaziri mizigo kurudi
 
" Hua" = Huwa.
Lakini pia sikutaja swala la elimu. Nimeshari tu, tusipende kuandika au kuongea lugha tusizozijua vizuri hasa katika mambo ya mabishano na tafakuri.
"nimeshari"= Nimeshauri tusipende kuandika au kuongea lugha tusizozijua vizuri hasa katika mambo ya mabishano na tafakuri "Kilichotokea kwako ndicho kimetokea kwake wakati mwingine ni typing error sio kila jambo ni la kukosoa"
 
"nimeshari"= Nimeshauri tusipende kuandika au kuongea lugha tusizozijua vizuri hasa katika mambo ya mabishano na tafakuri "Kilichotokea kwako ndicho kimetokea kwake wakati mwingine ni typing error sio kila jambo ni la kukosoa"
Nakubaliana na wewe. Lakini maana yangu ni kuwa tunapokosea kwenye lugha ya mjadala ni rahisi kueleweka na kukosolewa, kama wewe ulivyofanya kwangu sasa hivi. Lakini unapoanza kuchomeka lugha nyingine na ukaikosea nadhani hayo ni makosa makubwa zaidi
 
Hakuna mtu strategic zaidi ya Kinana katika medani za siasa ukanda huu wa Afrika Mashariki...namkubali sana huyu mzee amefanya kazi iliyotukuka wakati anachukua mikoba kutoka kwa Wilson Mkama chama kilikua kinapumulia mashine alichofanya Kinana ni simple strategy ya kukiuza chama maeneo ya vijijini ambapo ndio kuna wapiga kura wengi...Kinana haitaji uwaziri kwani nguvu zake ni kubwa ndani ya chama ni mmoja wa wanakitengo ambao walituletea Comrade Magufuli...hakika Kinana amefanya kazi iliyotukuka na sasa anastahili kupumzika
Umesema kweri mkuu kuhusiana na umakini na umahili wa kinana ktk medani za siasa ila tuseme tatizo kwa siasa hapa kwetu kwa sasa zimebebwa na ukanda udini na mfano wa hayo ndio maana walio wengi hawauoni ubora na umuhimu wa kinana
 
" Hua" = Huwa.
Lakini pia sikutaja swala la elimu. Nimeshari tu, tusipende kuandika au kuongea lugha tusizozijua vizuri hasa katika mambo ya mabishano na tafakuri.
Nimeshari= Nimeshauri
Na wewe unajisikiaje sasa?
 
Bila Kinana pasingekuwa na CCM ya sasa. Na nitashangaa kama Magu atashindwa kumteua aendelee na nafasi yake.

Asikosee!!

Yasije yakamkuta ya JK na Makamba, na Mbowe na Mashinji.
 
Kuzunguka kwake nchi nzima,mchango wake Na Kazi yake ilionekana,lkn ikumbukwe hakua akitoa msaada Bali kutumikia nafasi yake aliyopewa akakubali Na pia ina malipo/mshahara.
Swala la Nape kuwa bora kuliko yule au yule kuwa bora kuliko nape,ni swala linalotegemea unawalinganisha katika job description ipi?
Tip:mmoja ako soma molecular biology and biotechnology Na mwingine akasoma computer engineering,ni watu tofauti ambao hatuwezi kuwalinganisha utaalamu kwa kupitia job description ya taaluma ya mmoja.
 
kila mtu akipewa nafasi nani atabaki na hicho chama chao sasa. afterall huyu jamaa ana kashfa ya kampuni yake kusafirisha pembe za ndovu hivyo kwa kasi ya magu huyu angekuwa jipu hata kama alimpigania kuingia ikulu lakini JPM amejipambanua sio mtu wakulipa fadhila bali utendaji wa mtu ndio utamfanya apate nafasi kwenye serikali yake
 
Kinana sasa atupishe akapumzike! Nafasi yake wapewe vijana sasa wameshaona wapi walikosea na sasa Watajua waendeje! Asante Kinana, pumzika na achana na mitandao ile ya wanyama pori!
 
Kinana ni mjeshi, ana strategy za kijeshi kijeshi, he deserve to continue With his role siyo kwenda kupigizana makelele na wezi wezi matapeli wa chadema, hao size yao ni li Mh. Nape, au li Mh. Mwigulu a.k.a Field Marshall!
Eti Field marshal!! My foot
 
kinana ashakuwa banana iliyoiva, anatakiwa apumzike akalee wajukuu kwani ramani ya tanzania ameichora upya kwa kuzunguka miaka mitatu kufufua chama mfu ccm. amechoka jamani kumpa majukumu ni kumwonea.
 
" he deserve " = he deserves. Kutumia kiingereza kuandika udaku ni vigumu dada. Bora ungeandika kizaramo wengi tungekielewa. Nasikia siku hizi unaitwa NDALANDEFU
Hizi ni grammatical mistakes za wengi humu. Acheni kingereza kama hamwezi .Hata wahadhiri vyuo vukuu hiki kinawasumbua sana. Watafuteni waseminari jamani has a waliosoma ujiji seminari wawafundisheni msije aibika bure mbele ya safari
 
Back
Top Bottom