Hali ya Chidi Benz, kawa kibabu aiseee

Kinachomponza Chid ni ujuaji na kujitia utoto wa mjini wakati kapoteza.

Jamaa hataki kuwa chini ya kina Tale na Fella kisa watamnyonya anataka kujisimamia mwenyewe kwenye mziki wake.

Mama ake kila siku analia anataka mwanae akubali kufanya kazi na kina TALE ila Chid mwenyewe hataki ndio hayo yanayomkuta.

Inasikitisha Rashidi karudi tena kwenye Madawa.
 
Kilichomponza Chidi ni kushabikia chadema,

Mwenzake lowasa alikuwa zaidi ya mzee wa miaka 100
Toka lini chid akashabikia chadema,chid huyu aliyeimba nyimbo zakuwaponda UKAWA na LOWASA kipindi cha uchaguzi mkuu 2015...

Msimkimbie kada wenu,huyo ni CCM kufa.
 
kama chidi atapita hapa naomba akaburudike na shairi kutoka kwa Robert Frost linaitwa "THE ROAD NOT TAKEN"
 
Halafu kaweka chanuo kichwani nywele zenyewe hana. Sasa hapo ndio alikuwa anafanya nini, analia?
 
Duh! Kawa Chid bodaboda.

Hivi nini kinawashawishi kuingia kwenye uteja hawa jamaa?
 
Back
Top Bottom