Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,189
- 128,277
Hapana boss huwa anakuja tuu ofisini au MtaaniKwani mnaishi nae mkuu?
Sent from my iPhone using Tapatalk
Ndiyo boss , kama msosi ukitoka home huwa tunashareWhat if kama yupo humu JF??...na afya yake inakutatiza nini,kwani kuna vitu mnashare??
Si umeona sasa kumbe kila mtu Na maisha yake! Unaweza kumuuliza nini kimemsibu kama ulivyosema ni jamaa yako
Huwa hali mara kwa mara mda mwingine ukimwambia njoo tule/twende anasema yuko powa, kipato chake kizuri mkuu, ila now kastop kazi hafanyiUse brain Heriel mara nyingi kuna sababu inayosababisha matatizo yanayoonekana. Kama kweli unataka kumsaidia rafiki yako, tafuta majibu ya mwaswali haya;
[emoji1485]Marafiki zake wa karibu wanamchukuliaje?
[emoji1485]Elimu yake na ajira vina hali gani?
[emoji1485]Alishaenda hospitali na kupata huduma ya afya, vipimo nk. Chakula chake ana hi mudu kula vizuri?
[emoji1485]Ana imani gani? Ni mshiriki wa ibada?
ni muislam, siyo mshiriki wa ibada,Use brain Heriel mara nyingi kuna sababu inayosababisha matatizo yanayoonekana. Kama kweli unataka kumsaidia rafiki yako, tafuta majibu ya mwaswali haya;
[emoji1485]Marafiki zake wa karibu wanamchukuliaje?
[emoji1485]Elimu yake na ajira vina hali gani?
[emoji1485]Alishaenda hospitali na kupata huduma ya afya, vipimo nk. Chakula chake ana hi mudu kula vizuri?
[emoji1485]Ana imani gani? Ni mshiriki wa ibada?
Yuko serious sana mkuu, huwa hatuna utani hata .Si umeona sasa kumbe kila mtu Na maisha yake! Unaweza kumuuliza nini kimemsibu kama ulivyosema ni jamaa yako
Sent from my iPhone using Tapatalk
Jaribu kuwa seriousYaani namna ya kumuuliza asijisikie vibaya, pia asinifikirie mimi vibaya boss
Sent using Jamii Forums mobile app
Ameshafanya vipimo vya hospitali, kama atakuwa na hali mbaya anao watu wakuweza kumsaidia kimawazo na matendo?ni muislam, siyo mshiriki wa ibada,
Ana wanawake wengi a dah nikiwa nae ofisini wanaweza kuja wanawake wawili hadi watatu tofauti boss,anasema walikuwa wateja wake
Sent using Jamii Forums mobile app