Hali ya afya ya msanii orijino komed vengu.

Wa kusoma

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
3,454
2,975
Nilikuwa naangalia kipindi cha hawa jamaa, nimemwona VENGU akiigiza vipi jamani najua JF ipo kila kona huyu jamaa alishapona au ile wameweka aliyocheza zamani?
 
mimi mwenyewe nilivyomuona akili ilicheza nikagundua wanarudia scenes za zamani. Kwa kifupi hawa majamaa wamepoteza mwelekea baada ya kwenda TBC halafu huyo mkandamizaji kujifanya ameokoka
 
Kwa taarifa nilizonazo kutoka vyombo vya habari vya kuaminika. Wasanii wote wa orijino komedi wapo likizo> Kutokana na hali hiyo hawatoweza kutuletea mambo mapya tena hadi pale likizo yao itakapokwisha. Kutokana na hali hiyo wameona bora watuwekee marudio ya vipindi vya orijino komedi vya zamani badala ya kutuacha bila kitu
 
Kumbe nao wanalikizo?? Nilikuwa sijui kabisaaaaa......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom