hali tete Arumeru

Mabom yanapigwa hapa kama radi, ni ngurumo kuuuubwa cha ajabu wananchi wanazidi kujaa hapa wakiimba pipozzzzz pawa. Usa haifaiiiiiii.
Msiniponiona tena mjue bomu limeongea na mimi
 
Chimbuko la mabomu ni polisi hawataki msongamano wa watu. Vijana wameumia. Source Ufoo wa itv
 
Piganieni haki mpaka kieleweke! Nguvu ya watu ni nguvu ya Mungu kamwe haiwezi simamishwa kwa mabomu na risasi!
 
MUNGU YUKO UPANDE WETU, mabomu ni kitu gani? Tumewachoka watu hawa. Hakuna kulala mpaka kieleweke.
 
Kwani Chadema si wana mawakala kwenye kila kituo? Kuna haja gani wanachama kukaa tena vituoni? Au na mawakala wanaweza kuchakachua?

Unacheza na ccm kwenye mambo kama haya wanaweza kuwapa hela ndefu ambayo watashawishika, hapa iliyopo ni kukomaa mpaka kieleweke
 
Hali ngumu;novatus makunga ashindwa kwwenda arumeru. Chimbuko la mabomu ni gari la bossi wa polisi limeshambuliwa na hivyo polisi naona wanajibu mashambulizi
 
Kwenye ukumbi kumetokea tafrani; jamaa ameshikwa akikabidhi form nyingine siyo zilizotoka vituoni. Lema- karibu zipigwe; Mtuhumiwa katolewa nje na polisi kwa mahojiano zaidi. Mungu ibariki Arumeru
 
Usimsahau na m'babe Mkapa.

Huu ubabe anaotuonesha ni kwasababu anaogopa CHADEMA wakikamata nchi yeye hana salama; atasimamishwa kizimbani baada ya kumvua hiyo immunity yake!! Anapanda majukwaani kama njia ya kujihami!!
 
Mabom yanapigwa hapa kama radi, ni ngurumo kuuuubwa cha ajabu wananchi wanazidi kujaa hapa wakiimba pipozzzzz pawa. Usa haifaiiiiiii.
Msiniponiona tena mjue bomu limeongea na mimi


Puppy umenifurahisha sana..Mungu hatawaacha
 
wanayapiga kwel, niko hapa usa river hapafai ndugu yang watu wamesema watarudi asubuhi mpaka kieleweke
 
Heri kufa kuliko kuacha haki yako ikipokonywa hivi mchana au kwenye taa nyeupe... Pambana Arumeru, tuko nanyi.
 
You can fool some people sometimes, but you cant fool all the people all the time. Yametimia Arumeru. cdm zaidi.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Back
Top Bottom