N Naytsory JF-Expert Member Joined Nov 3, 2011 Posts 2,192 Reaction score 792 Apr 2, 2012 #61 Tunaomba mawakala wa Chadema mlioko ndani muwe makini na hizo fomu za matokeo kwani ni rahisi kuwa na form nyingine iliyokwisha jazwa kabla.
Tunaomba mawakala wa Chadema mlioko ndani muwe makini na hizo fomu za matokeo kwani ni rahisi kuwa na form nyingine iliyokwisha jazwa kabla.
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 62,517 Reaction score 94,149 Apr 2, 2012 #62 Sisiemu wasichezee machalii wa atown wewe wapo fiti mbaya!