Mkuu hizi report haziko realistic, ni ripoti za kupikwa kwa lengo la kucreate tension, kuwafanya wananchi wakate tamaa na kuichukia Serikali yao, maeneo mengi zinasababisha Machafuko
H
Yaani report ya CAG are you serious?
Mkuu hizi report haziko realistic, ni ripoti za kupikwa kwa lengo la kucreate tension, kuwafanya wananchi wakate tamaa na kuichukia Serikali yao, maeneo mengi zinasababisha Machafuko
H
Hahaha tushakuwa mbogo sio...tunataka papuchi tu ila sio kuombwa matumiziWeeee sikuhizi hatuna muda hata wa kuwaomba tunakomaa na shida zetu hatutaki majina ya hovyohovyo
Sasa kwa ushenzi no matumizi no papuchi ....huwezi kumkamua ng'ombe maziwa bila kumpa chakulaHahaha tushakuwa mbogo sio...tunataka papuchi tu ila sio kuombwa matumizi
Nahisi wewe unalelewa na shemeji au umepata bash@ hapo ulipo ndio maana huwezi jua hali halisi ya upatikanaji wa pesa na mzunguko wake.Heshima kwenu Wanajamvi! Heri ya Pasaka kwenu wote mnaosherekea!!
Wapendwa baada ya kuwa nimeona kwenye mitandao malalamiko ya hali mbaya, nikaamua nifanye kautafiti kadogo japo sio rasmi ( usiniulize habari ya sampling au methods)
Kwenye mitandao ya kijamii wanaondesha propaganda ni kijikundi cha watu wachache ambao hata 50 hawafiki!! Hata majina naweza kuyataja!! Uhalisia mtaani maisha yapo vzr watu wanapiga kazi. Hakuna malalamiko ambayo tunayaona mitandaoni!
Naishauri Serikali isiingie kwenye mtego wa propaganda za ripoti sijui iwe ya IMF, au ya CAG. Hizi ni propaganda za kuichafua Serikalini yetu pendwa
Heshima kwenu Wanajamvi! Heri ya Pasaka kwenu wote mnaosherekea!!
Wapendwa baada ya kuwa nimeona kwenye mitandao malalamiko ya hali mbaya, nikaamua nifanye kautafiti kadogo japo sio rasmi ( usiniulize habari ya sampling au methods)
Kwenye mitandao ya kijamii wanaondesha propaganda ni kijikundi cha watu wachache ambao hata 50 hawafiki!! Hata majina naweza kuyataja!! Uhalisia mtaani maisha yapo vzr watu wanapiga kazi. Hakuna malalamiko ambayo tunayaona mitandaoni!
Naishauri Serikali isiingie kwenye mtego wa propaganda za ripoti sijui iwe ya IMF, au ya CAG. Hizi ni propaganda za kuichafua Serikalini yetu pendwa
Kumbe ni mshiriki wa serikali! Ungeshangaza kama ungeponda, ungetumbuliwa. Hata sisi wananchi tunasema huku mitaani mambo ni safi. Pasaka nimeuza kuku 6 kwa jirani zangu kwa sh 7000 kila mmoja. Nimechinja mmoja na wife kampika chukuchuku, viungo hakuna, hela sins, wale 6 nimeuza kwa mkopo.Heshima kwenu Wanajamvi! Heri ya Pasaka kwenu wote mnaosherekea!!
Wapendwa baada ya kuwa nimeona kwenye mitandao malalamiko ya hali mbaya, nikaamua nifanye kautafiti kadogo japo sio rasmi ( usiniulize habari ya sampling au methods)
Kwenye mitandao ya kijamii wanaondesha propaganda ni kijikundi cha watu wachache ambao hata 50 hawafiki!! Hata majina naweza kuyataja!! Uhalisia mtaani maisha yapo vzr watu wanapiga kazi. Hakuna malalamiko ambayo tunayaona mitandaoni!
Naishauri Serikali isiingie kwenye mtego wa propaganda za ripoti sijui iwe ya IMF, au ya CAG. Hizi ni propaganda za kuichafua Serikalini yetu pendwa
Nyingi ni propaganda tu, hakuna sehemu ambapo watu wanalipwa bila kufanya kazi
Kutokutoa annual inclement, kutokuajiri na kutokuongeza mshahara ni propaganda???Nyingi ni propaganda tu, hakuna sehemu ambapo watu wanalipwa bila kufanya kazi
Mkuu hizi report haziko realistic, ni ripoti za kupikwa kwa lengo la kucreate tension, kuwafanya wananchi wakate tamaa na kuichukia Serikali yao, maeneo mengi zinasababisha Machafuko
H
Cheeiiii hahahahahahahaahahKuna thread humu inaelekeza sehemu ya kupata machimbo ya kukidhi haha zetu.
Hatuna shida kabisa mkikatalia....tunaweza kuwakuta huko
HahahahahahahaahaahahaaNamba yako ya simu please
Weka hapo lolote laweza kutokea
Pasaka hiiii
Wengi walioamua kusifia kila kitu wapo hivyo. Utafiti wa TWAWEZA ulieleza wazi kuwa wengi wao ni watu wasio na kiwango kizuri cha elimu na uelewa.Wiki iliyopita nimepigiwa simu na ndugu zaidi ya kumi wanaomba msaada maisha magumu, kukaa nje kote miaka zaidi ya kumi jambo hili halijawahi tokea.
Yaani CAG, IMF, mtaani kampuni zinazofungwa, kote kuna evidence za kutosha alafu we unakuja na analysis yako bila hata kauchunguzi kidogo. Watu mna matatizo ya akili labda ushamba unakusumbua
Kwann hamji madhabahuni ili nanyi mkale
Hawa siyo ushamba ila ni wale manabii na wachungaji wanaopewa pesa za maombezi. Kama sivyo basi hawa ni walinzi wa Rais wanapewa zile pesa zinazonyang'anywa wale wanaotekwa kama MO na wenzie ili waachiwe. Kumbuka kesi ya voda. Zile pesa zitaenda wapi?Wiki iliyopita nimepigiwa simu na ndugu zaidi ya kumi wanaomba msaada maisha magumu, kukaa nje kote miaka zaidi ya kumi jambo hili halijawahi tokea.