Mrejesho: hali sio mbaya kama inavyoenezwa mitandaoni

Charliemic

JF-Expert Member
Feb 17, 2019
585
919
Wiki chache zilizopita nilileta maada ikizungumzia chuki zinazoenezwa na kikundi cha watu wachache ambao idadi yao hawafiki hata 100 huko mitandaoni kuwa hali ni ngumu, na kutaka kuleta chuki, wamejisajili instagram, twitter na jf. wapendwa hebu tuangalie ziara za Mh Rais kwenye mkoa wa Mbeya anavyopokelewa na mamilioni ya wananchi huku wakimshangilia kwa juhudi kubwa huku wakionyesha kumuunga mkono!

My take:
1.Hivi hali ingekuwa mbaya watu wangejitokeza kwa wingi ule kwenda kumlaki!???

2. Mbona Mh Sugu hakuweza kuzungumzia hali ngumu badala yake akamsifu na kukiri anaunga mkono!???
 
Mkuu mambo ni mazuri sana wanaolalamika ni mafisadi au wakala wao walikuwa wamezoea wizi wamebanwa! Hapa Kazi Tu!
 
Wiki chache zilizopita nilileta maada ikizungumzia chuki zinazoenezwa na kikundi cha watu wachache ambao idadi yao hawafiki hata 100 huko mitandaoni kuwa hali ni ngumu, na kutaka kuleta chuki, wamejisajili instagram, twitter na jf. wapendwa hebu tuangalie ziara za Mh Rais kwenye mkoa wa Mbeya anavyopokelewa na mamilioni ya wananchi huku wakimshangilia kwa juhudi kubwa huku wakionyesha kumuunga mkono!

My take:
1.Hivi hali ingekuwa mbaya watu wangejitokeza kwa wingi ule kwenda kumlaki!???

2. Mbona Mh Sugu hakuweza kuzungumzia hali ngumu badala yake akamsifu na kukiri anaunga mkono!???
Yaani we uko mbali sana na dunia hii
 
Soma comments zote alafu uje uniambie nani anasema hali ni shwari magu 2020 atapata tabu sana na ushamba wake wa Gamboshi
Utasubiri sana! Huku mtandaoni hakuna wapigakura. Wapigakura wako huko ambako wanampokea Rais
 
Buku saba saba za hapo lumumba zinakuchanganya sana,,

Unaweza kuta unakula ugali wa wazazi wako au mke wako unakuja kutusumbua hapa
 
Acha ufala dawa iwaingie
Ufala ni kudhani hayo unayvodhani ni sahihi,
Huenda unapokea 7,000 na wewe kwahiyo huwezi elewa mtu kama mimi mchoma mkaa na mfanya vibarua shamban kwa watu nikisema mambo yamebadilika
 
Utasubiri sana! Huku mtandaoni hakuna wapigakura. Wapigakura wako huko ambako wanampokea Rais
Si mnawajinga wenu wa vijijini wanaowapa kura sasa subiri 2020 uone kama watazitoa kijinga kama awali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom