Hali ni tete

Habari ningekuuliza umemaliza chuo lini? Umesomea nn? Upo mkoa gani? Je unachagua kazi au kazi yeyote...Unaweza kujibu au kama utashindwa kujibu, kindly DM/PM you CV kwangu, then tujaribu kupush...

Sikujui wala hunijui nimejiskia kukusaidia tu...muhimu ikitokea ukapata kazi unapaswa kuwa MUAMINIFU na MUADILIFU.
 
 
Shukrani mkuu japo kuna uzi nilifungua humu niliweka baadhi ya taarifa kunihusu. Chuo nimemaliza pale mwenge catholic university na bachelor ya geography and environmental studies
 
Shukrani mkuu japo kuna uzi nilifungua humu niliweka baadhi ya taarifa kunihusu. Chuo nimemaliza pale mwenge catholic university na bachelor ya geography and environmental studies
Je, hii ndio tuitumie kama CV kweli !?
 
Pole Sana mkuu kwa Hali ngumu unazopitia.Muombe Mungu akufanyie wepesi Katika ishu zako.
 
 
Mmh, dada hakika kaongea hapa mtoa mada!!
 
Mkuu nakuelewa sana kimsingi hali ya maisha mtaani sio nzuri kimsingi day after day hali inakuwa ngumu.. asilimia kubwa wengi wetu tuko vibaya matarajio na uhalisia vimekuwa kama mbingu na ardhi. myself kuna time naona maisha ni kama yanakosa maana ila siku nikiokota maokoto naona maisha ni raha.

Sema keep hustling mzee you never know anything can happen.
 
Bado hatujachelewa kiongozi Mungu abariki Ili tufikie malengo
 
Wakuu kwema hapa. Mdau atakaenisevu hata 10k ya ku survive hii wiki hadi ijumaa kwenye maswala ya mlo atakuwa amenihelp sana. Imebidi nipambane nikapata kazi ya kupanga mbao kwenye kiwanda kimoja na kuzoa saw dust malipo 25k per week .Pay day ni jumamosi kwa jmamosi ila sio mbaya kuliko kukaa bila kazi wadau. Namba 0766424569
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…