Hivi mleta maada unakaa mjini au kijijini, unafahamu bei ya pembejeo na mbolea? Au kazi yako kukalili bei ya kilo za vyakula vinavyokuja mjini?Huu ni mwezi May kuna baadhi ya maeneo yanafanya uvunaji wa mazao tayari, kanda ya ziwa wameshavuna mahindi 80% ya mashamba yao sasa hivi wapo wanaendelea na uvunaji wa mpunga ambao upo 40%
70% ya mazao yanayotumika sana nchini kwetu ni mahindi, mchele na maharage haipiti siku waTanzania 7 kati ya 10 wasitumie moja wapo ya haya mazao, Maeneo yanayolima sana ndio yapo kwenye uvunaji mda huu
Mikoa ya kiuzalishaji kama Ruvuma, Rukwa, Mbeya, Morogoro pia imeanza kuvuna mda huu lakini hatuoni bei ikishuka kwa asilimia kubwa, ikumbukwe nchi yetu inapata mvua vipindi viwili tu kwa mwaka (vuli na masika) vuli hutangulia kuanzia september mpaka disember (maanaake vuli imeshapita) sasa tupo mwishoni mwa mvua za masika mvua hizi zilianza mwezi february na zitaisha rasmi mwishoni mwa mwezi huu
Asilimia kubwa ya wakulima tulokuwa nao nchini wanategemea mvua na hapa tukubaliane kwamba hatutapata tena mda wa kuzalisha mazao mengine mpaka mwishoni mwa mwaka, maanaake mazao haya yaliyopo yanatakiwa yatupeleke mpaka mwaka kesho mwezi kama huu
Kama wakulima wapo wanavuna shambani lakini bei hazishuki na hii inatoa picha kabisa kuwa mazao yaliyopatikana msimu huu bado ni kidogo na bahati mbaya wakulima walokuwa wengi wanauzia mazao shambani maanake tayari wafanyabiashara wa mazao mameshajimilikisha mazao ya msimu huu
Nimepita baadhi ya maeneo haswa kanda ya ziwa mkoani Geita halmashauri ya Geita DC mpunga unavunwa bei ya mchele imepungua lkn sio kwa ukubwa huo huko kg 1 ya mchele wanauza kwa Tsh 2000- Tsh 2500 hii ni bei ya mchele mpya kutoka shamba tuna mwezi mmoja na nusu tu wa uvunaji hali ni mbaya
Hapa serikali inatakiwa izuie moja kwa moja soko la nje, tusijidanganye kuwa tunamsaidia mkulima tutaua watu kwa njaa, kama mwezi may bei ni hii vipi mwezi disember? Soko la ndani bado ni kubwa sana linatosha kuuza mazao ikiruhusiwa mazao kwenda nje trust me mazao hayatashikika
Inawezekana serikali inataka kuvutia watu waingie kwenye kilimo sawa lkn lazima tuwe na mgawanyo wa kazi, watu walime mazao tupate chakula, watu wasome tupate wataalamu, watu wafanye michezo tupate wacheza mpira, riadha ndodi nk
Kuna watu wengine hawawezi kujikita kwenye kilimo ila wanachangia ukuaji wa uchumi wa nchi kwa mambo mengine, hebu tuwawazie vijana wanaojenga majengo (mafundi) wanajitoa sana kuijenga nchi yetu tumeona kilichofanyika Dodoma mji unajengwa kweli kweli, vijana hawa kipato chao kipo pale pale hata mh Rais hajagusia masilahi yao leo hii pale Morogoro ataweza kununua chakula kikipanda bei ikiwa pesa anayolipwa ni ile ile miaka yote
Tusichukulie poa hali itakuwa mbaya sana kuanzia mwezi september mwaka huu
Ndio hizo hizo consequences zake sasa ,kama ukifeli kwenye misingi usitegemee chochote , suala ni kwamba uzalishaji ni mdogo na uzalishaji ni mdogo sababu kubwa watu wamekimbia kilimo ukiachana na suala la ukame ,ila watu wengi wameachana na kilimo tokana na hayo matatizo nikiiridhosha hapo huyuMkuu Kimbukiko tulifeli kwenye misingi ni ukweli kabisa japo miaka ya hivi karibuni kuanzia awamu ya nne ya Jakaya Kikwete tulianza jitihada tukaona kilimo kwanza nk
Hapa tujadili hali tulonayodada huu ya uhaba wa mazao tunatokaje,, tuendelee kuuza nje na wakati sisi wenyewe ndani chakula hakitoshi?
Ni mambo ya aibu kabisa
- Maji bwerere yapo Ziwa Nyasa, Tanganyika n.k watu wanaongezeka kama samaki. Wenye mitaju wanakimbia kilimo kama ukoma.
- Wananchi wa kawaida wanaotegemea mvua, ng'ombe waliokondeana, jembe la mkono, n.k ndio wanaolisha nchi.
- Mambo ya kipuuzupuuzi ndio yanapata air time kwenye media.
- Nchi imegeuzwa gulio la mchina.
wewe mwenye asili ya Cameroon kwa nini hurudi kwenu?ilikuaje akawa Waziri huyu, Mtu ana asili ya Somalia ameoa mwenye asili ya Rwanda na anaingia baraza letu la Mawaziri akishikilia wizara uti wa mgongo wa Taifa
Sio "sio" ni ndioAu sio[emoji16]
Umeandika hadithi nyingi sana zisizo na msingi.Huu ni mwezi May kuna baadhi ya maeneo yanafanya uvunaji wa mazao tayari, kanda ya ziwa wameshavuna mahindi 80% ya mashamba yao sasa hivi wapo wanaendelea na uvunaji wa mpunga ambao upo 40%
70% ya mazao yanayotumika sana nchini kwetu ni mahindi, mchele na maharage haipiti siku waTanzania 7 kati ya 10 wasitumie moja wapo ya haya mazao, Maeneo yanayolima sana ndio yapo kwenye uvunaji mda huu
Mikoa ya kiuzalishaji kama Ruvuma, Rukwa, Mbeya, Morogoro pia imeanza kuvuna mda huu lakini hatuoni bei ikishuka kwa asilimia kubwa, ikumbukwe nchi yetu inapata mvua vipindi viwili tu kwa mwaka (vuli na masika) vuli hutangulia kuanzia september mpaka disember (maanaake vuli imeshapita) sasa tupo mwishoni mwa mvua za masika mvua hizi zilianza mwezi february na zitaisha rasmi mwishoni mwa mwezi huu
Asilimia kubwa ya wakulima tulokuwa nao nchini wanategemea mvua na hapa tukubaliane kwamba hatutapata tena mda wa kuzalisha mazao mengine mpaka mwishoni mwa mwaka, maanaake mazao haya yaliyopo yanatakiwa yatupeleke mpaka mwaka kesho mwezi kama huu
Kama wakulima wapo wanavuna shambani lakini bei hazishuki na hii inatoa picha kabisa kuwa mazao yaliyopatikana msimu huu bado ni kidogo na bahati mbaya wakulima walokuwa wengi wanauzia mazao shambani maanake tayari wafanyabiashara wa mazao mameshajimilikisha mazao ya msimu huu
Nimepita baadhi ya maeneo haswa kanda ya ziwa mkoani Geita halmashauri ya Geita DC mpunga unavunwa bei ya mchele imepungua lkn sio kwa ukubwa huo huko kg 1 ya mchele wanauza kwa Tsh 2000- Tsh 2500 hii ni bei ya mchele mpya kutoka shamba tuna mwezi mmoja na nusu tu wa uvunaji hali ni mbaya
Hapa serikali inatakiwa izuie moja kwa moja soko la nje, tusijidanganye kuwa tunamsaidia mkulima tutaua watu kwa njaa, kama mwezi may bei ni hii vipi mwezi disember? Soko la ndani bado ni kubwa sana linatosha kuuza mazao ikiruhusiwa mazao kwenda nje trust me mazao hayatashikika
Inawezekana serikali inataka kuvutia watu waingie kwenye kilimo sawa lkn lazima tuwe na mgawanyo wa kazi, watu walime mazao tupate chakula, watu wasome tupate wataalamu, watu wafanye michezo tupate wacheza mpira, riadha ndodi nk
Kuna watu wengine hawawezi kujikita kwenye kilimo ila wanachangia ukuaji wa uchumi wa nchi kwa mambo mengine, hebu tuwawazie vijana wanaojenga majengo (mafundi) wanajitoa sana kuijenga nchi yetu tumeona kilichofanyika Dodoma mji unajengwa kweli kweli, vijana hawa kipato chao kipo pale pale hata mh Rais hajagusia masilahi yao leo hii pale Morogoro ataweza kununua chakula kikipanda bei ikiwa pesa anayolipwa ni ile ile miaka yote
Tusichukulie poa hali itakuwa mbaya sana kuanzia mwezi september mwaka huu
We Jamaa bwana,usiuze mazao shambani Ili ukauze wapi? š¤£š¤£Umeandika vema lakini USHAURI KWA SERIKALI HAPA NI KUIWEZESHA NFRA KUNUNUA NAFAKA YA KUTOSHA LAKINI WAKULIMA WAENDELEE kufaidika NA FURSA ZA KIBIASHARA.
Tahadhari itolewe kwa wakulima wasiuzie Mazao SHAMBANI.
Huko ni Kunyonywa!
KAZI YA HIFADHI NA USALAMA WA CHAKULA NI YA SERIKALI.
MKULIMA ANAFANYA BIASHARA.
NFRA WAKICHELEWA KUFUNGUA MSIMU Watakosa NAFAKA!!!
Sasa kama watu wa Mjini wanalazimisha bei iwe mbaya nani avuje jasho kuwalisha Wavivu wamwrundikana huko Mjini?Tanzania wakati mkoloni anaondoka mwaka 1961 ilikuwa ni.moja ya nchi inayoongoza Africa kwa kuzalisha mazao ya chakula na cash crops nyingine ,mkoloni kapandikiza hapa mazao mengi ambayo hata asili yake si hapa , kuna sababu na sababu mi kwamba mazao mengi yanakubali kwenye hii ardhi ,mkoloni alijenga reli , barabara nk ambavyo vingine vinatumika mpaka leo , mtu mweusi kaingia kushika nchi hata kujilisha ni shida , hii ni akili au tope ?
Sisi watu weusi tuna matatizo ya akili sana
Bei ni Ile Ile kama ya mwaka uliopita Wala hakuna mabadiliko,kwanza ni mbaya sana jushuka saizi,kilele Cha mavuno ndio bei zinatakiwa kushuka sio saizi manake zitaporomoka ikifika mwezi june-AugustHatutaki mazao yashuke zaidi bei,, ila hebu tufikirie kwa kina kama sasa hivi mwezi may kilo ya mchele bado inauzwa Tsh 2000 maeneo mengine ni mpaka Tsh 2900
Vipi kilo hiyo ya mchele itauzwa mwezi disember?
Sensa ipi hiyo? Kuna sehemu kuna idadi kubwa ya watu waliokaa sehemu moja kama Dar? Arusha CBD, Dodoma CBD, Mwanza CBDUmeandika hadithi nyingi sana zisizo na msingi.
Ni aidha ukalime maana mvua Bado zinanyesha au ukubaliane na bei ya soko,ujiumia wewe wakulima wakafaidi Kuna shida gani?
Kwa Mujibu wa sensa karibu 70% ya watu wako Vijijini na hao wengi wao ni wakulima nyie wapiga kelele mlioko kwenye 30% hamna Cha maana mnachangia Hadi kustahili kunyonya jasho la mkulima.
Huko mlikosongamana Kwa kukimbia kazi Vijijini bakini hivyo hivyo Ili njaa iwanyooshe kwanza akili zitawajia..Sensa ipi hiyo? Kuna sehemu kuna idadi kubwa ya watu waliokaa sehemu moja kama Dar? Arusha CBD, Dodoma CBD, Mwanza CBD
Any way mvua zipo mwishoni kabisa mda huu hii ni masika na itatamatika mwishoni mwa mwezi huu,, mazao ambayo yanahitajika sana mchele, mahindi na maharage yote kwa wastani yana komaa kuanzia mda wa miezi mitatu nitafte shamba niliandae, nilime kisha nipande hapa mwezi umeshaisha na mvua hakuna tena
Basi ngoja tusubri hiyo disember bei ya mchele kwa kilo ikiwa elfu 5 ndio tujadili hili
Ulichokisema Ni sahihi, hali ya bei ya chakula bado sio nzuri,na kusema kwamba mkulima anafaidika nadhani si wakulima wote,asilimia kubwa ya wakulima wa Tz ni wakulima wadogo wadogo,na hao ndio wanalisha nchi kwa kiasi kikubwa,swala la bei ya mazao kuwa nzuri si kweli kwamba wanafaidika nayo,wanaofaidika sanasana ni walanguzi na wakulima wa kubwa,mkulima mdogo akivuna anahifadhi kidogo kwa ajili ya chakula kingine anauza kwa walanguzi kwa bei ya kawaida, na mwisho wa siku mkulima huyo huyo akiishiwa chakula anakuja kununua kwa bei kubwa sana, kwahiyo ili swala liangaliwe upya, wachache sana ndio wanaofaidika wananchi wengi wanabaki wanaumia na mfumuko wa bei ya chakulaHuu ni mwezi May kuna baadhi ya maeneo yanafanya uvunaji wa mazao tayari, kanda ya ziwa wameshavuna mahindi 80% ya mashamba yao sasa hivi wapo wanaendelea na uvunaji wa mpunga ambao upo 40%
70% ya mazao yanayotumika sana nchini kwetu ni mahindi, mchele na maharage haipiti siku waTanzania 7 kati ya 10 wasitumie moja wapo ya haya mazao, Maeneo yanayolima sana ndio yapo kwenye uvunaji mda huu
Mikoa ya kiuzalishaji kama Ruvuma, Rukwa, Mbeya, Morogoro pia imeanza kuvuna mda huu lakini hatuoni bei ikishuka kwa asilimia kubwa, ikumbukwe nchi yetu inapata mvua vipindi viwili tu kwa mwaka (vuli na masika) vuli hutangulia kuanzia september mpaka disember (maanaake vuli imeshapita) sasa tupo mwishoni mwa mvua za masika mvua hizi zilianza mwezi february na zitaisha rasmi mwishoni mwa mwezi huu
Asilimia kubwa ya wakulima tulokuwa nao nchini wanategemea mvua na hapa tukubaliane kwamba hatutapata tena mda wa kuzalisha mazao mengine mpaka mwishoni mwa mwaka, maanaake mazao haya yaliyopo yanatakiwa yatupeleke mpaka mwaka kesho mwezi kama huu
Kama wakulima wapo wanavuna shambani lakini bei hazishuki na hii inatoa picha kabisa kuwa mazao yaliyopatikana msimu huu bado ni kidogo na bahati mbaya wakulima walokuwa wengi wanauzia mazao shambani maanake tayari wafanyabiashara wa mazao mameshajimilikisha mazao ya msimu huu
Nimepita baadhi ya maeneo haswa kanda ya ziwa mkoani Geita halmashauri ya Geita DC mpunga unavunwa bei ya mchele imepungua lkn sio kwa ukubwa huo huko kg 1 ya mchele wanauza kwa Tsh 2000- Tsh 2500 hii ni bei ya mchele mpya kutoka shamba tuna mwezi mmoja na nusu tu wa uvunaji hali ni mbaya
Hapa serikali inatakiwa izuie moja kwa moja soko la nje, tusijidanganye kuwa tunamsaidia mkulima tutaua watu kwa njaa, kama mwezi may bei ni hii vipi mwezi disember? Soko la ndani bado ni kubwa sana linatosha kuuza mazao ikiruhusiwa mazao kwenda nje trust me mazao hayatashikika
Inawezekana serikali inataka kuvutia watu waingie kwenye kilimo sawa lkn lazima tuwe na mgawanyo wa kazi, watu walime mazao tupate chakula, watu wasome tupate wataalamu, watu wafanye michezo tupate wacheza mpira, riadha ndodi nk
Kuna watu wengine hawawezi kujikita kwenye kilimo ila wanachangia ukuaji wa uchumi wa nchi kwa mambo mengine, hebu tuwawazie vijana wanaojenga majengo (mafundi) wanajitoa sana kuijenga nchi yetu tumeona kilichofanyika Dodoma mji unajengwa kweli kweli, vijana hawa kipato chao kipo pale pale hata mh Rais hajagusia masilahi yao leo hii pale Morogoro ataweza kununua chakula kikipanda bei ikiwa pesa anayolipwa ni ile ile miaka yote
Tusichukulie poa hali itakuwa mbaya sana kuanzia mwezi september mwaka huu
Ardhi ya Tanzania inayolimwa ni chini ya 15%, watu wengi wako kwenye uchuuzi, mama ntiliye, bodaboda na shughuli za kivivuvivu tu.Kwanza mimi hakuna sehemu nimemtukana mtu hapa, naamini kwenye kujadili jambo kwa hoja haijalishi mtu kaleta hoja inayokinzana nitajibu kwa hoja na sio kutoa matusi
Pili kilimo ni sehemu ya maisha yangu, naamini kushiriki kilimo sio lazima nikalime hata nikikuletea pembejeo kuzitoa mjini kukusogezea kujijini nitakuwa nimeshiriki kilimo
Lengo la huu uzi sio kumuathiri mkulima kwenye suala la bei no, nilikuwa nawasilisha hoja kuhusu uhaba/uchache wa mavuno msimu huu serikali idhibiti soko mazao yasiuzwe yote kwa haraka soko la nje ilihali soko la ndani bado linauhitaji
Chakula kilichopo hakitoshi kwa humu humu ndani vipi tena kiende nje,, serikali ifunge mipaka kiuzwe hapa pekee
Harafu narudia tena hatuwezi kulima wote mkuu, unataka walimu, madaktari, mapolisi, wavuvi, wahandisi, wafanyabiashara watu wa madini na utalii wote waende shamba?
Mkoani Ruvuma mahindi yameshuka.1700,2000,2500dumla.Wanunuzi wa kg hawajaanza kununuwa.Heri bei ipande mana uzalishaji unagharimu.Huu ni mwezi May kuna baadhi ya maeneo yanafanya uvunaji wa mazao tayari, kanda ya ziwa wameshavuna mahindi 80% ya mashamba yao sasa hivi wapo wanaendelea na uvunaji wa mpunga ambao upo 40%