Hali ni mbaya, waziri Bashe chukua hatua

Hali ni mbaya, waziri Bashe chukua hatua

Kwanza mimi hakuna sehemu nimemtukana mtu hapa, naamini kwenye kujadili jambo kwa hoja haijalishi mtu kaleta hoja inayokinzana nitajibu kwa hoja na sio kutoa matusi

Pili kilimo ni sehemu ya maisha yangu, naamini kushiriki kilimo sio lazima nikalime hata nikikuletea pembejeo kuzitoa mjini kukusogezea kujijini nitakuwa nimeshiriki kilimo

Lengo la huu uzi sio kumuathiri mkulima kwenye suala la bei no, nilikuwa nawasilisha hoja kuhusu uhaba/uchache wa mavuno msimu huu serikali idhibiti soko mazao yasiuzwe yote kwa haraka soko la nje ilihali soko la ndani bado linauhitaji

Chakula kilichopo hakitoshi kwa humu humu ndani vipi tena kiende nje,, serikali ifunge mipaka kiuzwe hapa pekee

Harafu narudia tena hatuwezi kulima wote mkuu, unataka walimu, madaktari, mapolisi, wavuvi, wahandisi, wafanyabiashara watu wa madini na utalii wote waende shamba?
Kuwasaidia watu kwa kumuumiza mtu ni dhambi. Mazao yangu haujanisaidia kwa lolote vipi uyapangie.
Ishauri serikali inunue kwa bei ya soko halafu ije iuze chini ya bei ili iwasaidie masikini wasiotaka kufanya kazi wanaozurura tu mijini.
 
Mlio karibu na Bashe mwambieni kwamba Rumbesa ya Viazi imerudi kwa kasi. Wakulima wananyonywa balaa. Serikali inatoa maagizo yanayodumu kwa muda tu kisha yanavunjwa kwa speef hasa.
 
N muda wa wakulima kutajirika...vjn wapo mjn wanauza vwembe hawatak kulima...serikali isiingilie swala hili...atakayekufa njaa na afe... BASHE ALISEMA KBS HAWATAINGILIA KAT BEI YA MAZAO..watu tumekuwa tukiwekeza kwenye kilimo lkn outcome miaka yote n ndogo achaaa kila mtu ashinde mechi zake...over
Nimecheka Kama mazuri!!"☺️
 
Mimi ni mfanyakazi na Mkulima pia. Adui mkubwa hasa wa Wakulima wadogo ni Madalali.
Hapo mkulima anauza Mahindi yake Gunia 90,000/= jee ache kuuza asubiri serikali au wewe umpe 40,000/=???
Nenda Kibaigwa, Songambele, mkoka, Lugine, magungu,Kirashi,mskiti,ndirigishi, ngeju, lekumashi, Ngabolo, njoro, London, kisima, mbiri, pori 1,na2, ilera, lambalambogo, langitomoni, seringine,inchinirz, osteti, Engusero,ngipa,,Matui,Kite huko Mahindi guniq la kg 100 ambalo ni sawa na debe Sita ni 90,000/=
 
Kwanza mimi hakuna sehemu nimemtukana mtu hapa, naamini kwenye kujadili jambo kwa hoja haijalishi mtu kaleta hoja inayokinzana nitajibu kwa hoja na sio kutoa matusi

Pili kilimo ni sehemu ya maisha yangu, naamini kushiriki kilimo sio lazima nikalime hata nikikuletea pembejeo kuzitoa mjini kukusogezea kujijini nitakuwa nimeshiriki kilimo

Lengo la huu uzi sio kumuathiri mkulima kwenye suala la bei no, nilikuwa nawasilisha hoja kuhusu uhaba/uchache wa mavuno msimu huu serikali idhibiti soko mazao yasiuzwe yote kwa haraka soko la nje ilihali soko la ndani bado linauhitaji

Chakula kilichopo hakitoshi kwa humu humu ndani vipi tena kiende nje,, serikali ifunge mipaka kiuzwe hapa pekee

Harafu narudia tena hatuwezi kulima wote mkuu, unataka walimu, madaktari, mapolisi, wavuvi, wahandisi, wafanyabiashara watu wa madini na utalii wote waende shamba?
Mkuu nadhani ni wakati sasa mkulima nae aheshimike. Tukibana soko bei zinapungua sana, hio sio afya kwa mkulima.
Angalau ifike wakati mkulima aheshimike kama alivyo doctor. Kilimo ni kazi, kilimo ni ajira, kilimo ni biashara.
 
Bashe shikilia hapo hapo. We endelea kubeti nao waendelee kulima.
Lengo mkulima awe maskini wa kutupwa?
 
Badala ununue chakula msimu huu wa mavuno uhifadhi unakuja kulia lia hapa jamiiforam

Kama kilo sasa ni 2500 basi jiandae kununua kwa shilingi 5000 kipindi cha uhaba ama ununue sasa kwa bei hyo unayoona bado ni kubwa kazi ni kwako
 
Jana nimepita maduka mengi ya jumla huku maeneo ya mbezi yalikuwa hayana mchele zaidi ya wiki, wanasema huko wanakochukua umeisha wanategemea wakulima wavune kwanza. Duka nililobahatisha kupata mchele ule mzuri unauzwa 3,600/= kwa kilo, na inasemekana kuna wanaouza hadi 4000/-.Hivi mwananchi wa kawaida atamudu kweli kuishi kwa bei hizi za vyakula?

Halafu waziri anafanya siasa kwenye jambo nyeti la chakula eti anasaidia wakulima wakati kiuhalisia anawaneemesha madalali na walanguzi wa mazao ambao wana ma-godown ambayo wanayatumia kununua na kuhifadhi mazao ya wakulima kwa bei chee ili waje wayauze kwa bei ya juu nje ya nchi kwa bei wanayotaka.
Nenda kalime mpunga na mahindi ww mwenyew ili usinunue kwa bei juu, huwez bhas tuliia usitupgie kelele apa
 
Hao wanaokupinga ni kawaida yao, walishajipanga humu jukwaani......kila ukianzishwa uzi wa namna hii wanakuja kumshambulia mtoa mada wakisema wanamtetea mkulima. Lakini ukifuatilia wengi wanakuwa ni madalali na walanguzi wa mazao ambao wanajificha kwenye kichaka cha kumtetea mkulima.

Wakulima tunaowajua huwezi kuwakuta huku JF hasa kipindi hiki cha mavuno.
Acha kukariri,kwamba wakulima hawawez kuwa na smartphone au!!?, Achna na ayo Kila mtu ana ratiba yake Mzee ,tulia dawa ikuingie
 
Back
Top Bottom