Hali ni mbaya, waziri Bashe chukua hatua

Hali ni mbaya, waziri Bashe chukua hatua

Huu ni mwezi May kuna baadhi ya maeneo yanafanya uvunaji wa mazao tayari, kanda ya ziwa wameshavuna mahindi 80% ya mashamba yao sasa hivi wapo wanaendelea na uvunaji wa mpunga ambao upo 40%

70% ya mazao yanayotumika sana nchini kwetu ni mahindi, mchele na maharage haipiti siku waTanzania 7 kati ya 10 wasitumie moja wapo ya haya mazao, Maeneo yanayolima sana ndio yapo kwenye uvunaji mda huu

Mikoa ya kiuzalishaji kama Ruvuma, Rukwa, Mbeya, Morogoro pia imeanza kuvuna mda huu lakini hatuoni bei ikishuka kwa asilimia kubwa, ikumbukwe nchi yetu inapata mvua vipindi viwili tu kwa mwaka (vuli na masika) vuli hutangulia kuanzia september mpaka disember (maanaake vuli imeshapita) sasa tupo mwishoni mwa mvua za masika mvua hizi zilianza mwezi february na zitaisha rasmi mwishoni mwa mwezi huu

Asilimia kubwa ya wakulima tulokuwa nao nchini wanategemea mvua na hapa tukubaliane kwamba hatutapata tena mda wa kuzalisha mazao mengine mpaka mwishoni mwa mwaka, maanaake mazao haya yaliyopo yanatakiwa yatupeleke mpaka mwaka kesho mwezi kama huu

Kama wakulima wapo wanavuna shambani lakini bei hazishuki na hii inatoa picha kabisa kuwa mazao yaliyopatikana msimu huu bado ni kidogo na bahati mbaya wakulima walokuwa wengi wanauzia mazao shambani maanake tayari wafanyabiashara wa mazao mameshajimilikisha mazao ya msimu huu

Nimepita baadhi ya maeneo haswa kanda ya ziwa mkoani Geita halmashauri ya Geita DC mpunga unavunwa bei ya mchele imepungua lkn sio kwa ukubwa huo huko kg 1 ya mchele wanauza kwa Tsh 2000- Tsh 2500 hii ni bei ya mchele mpya kutoka shamba tuna mwezi mmoja na nusu tu wa uvunaji hali ni mbaya

Hapa serikali inatakiwa izuie moja kwa moja soko la nje, tusijidanganye kuwa tunamsaidia mkulima tutaua watu kwa njaa, kama mwezi may bei ni hii vipi mwezi disember? Soko la ndani bado ni kubwa sana linatosha kuuza mazao ikiruhusiwa mazao kwenda nje trust me mazao hayatashikika

Inawezekana serikali inataka kuvutia watu waingie kwenye kilimo sawa lkn lazima tuwe na mgawanyo wa kazi, watu walime mazao tupate chakula, watu wasome tupate wataalamu, watu wafanye michezo tupate wacheza mpira, riadha ndodi nk

Kuna watu wengine hawawezi kujikita kwenye kilimo ila wanachangia ukuaji wa uchumi wa nchi kwa mambo mengine, hebu tuwawazie vijana wanaojenga majengo (mafundi) wanajitoa sana kuijenga nchi yetu tumeona kilichofanyika Dodoma mji unajengwa kweli kweli, vijana hawa kipato chao kipo pale pale hata mh Rais hajagusia masilahi yao leo hii pale Morogoro ataweza kununua chakula kikipanda bei ikiwa pesa anayolipwa ni ile ile miaka yote

Tusichukulie poa hali itakuwa mbaya sana kuanzia mwezi september mwaka huu
Umeandika vema lakini USHAURI KWA SERIKALI HAPA NI KUIWEZESHA NFRA KUNUNUA NAFAKA YA KUTOSHA LAKINI WAKULIMA WAENDELEE kufaidika NA FURSA ZA KIBIASHARA.

Tahadhari itolewe kwa wakulima wasiuzie Mazao SHAMBANI.

Huko ni Kunyonywa!

KAZI YA HIFADHI NA USALAMA WA CHAKULA NI YA SERIKALI.

MKULIMA ANAFANYA BIASHARA.

NFRA WAKICHELEWA KUFUNGUA MSIMU Watakosa NAFAKA!!!
 
Hatutaki mazao yashuke zaidi bei,, ila hebu tufikirie kwa kina kama sasa hivi mwezi may kilo ya mchele bado inauzwa Tsh 2000 maeneo mengine ni mpaka Tsh 2900

Vipi kilo hiyo ya mchele itauzwa mwezi disember?
 
Huu ni mwezi May kuna baadhi ya maeneo yanafanya uvunaji wa mazao tayari, kanda ya ziwa wameshavuna mahindi 80% ya mashamba yao sasa hivi wapo wanaendelea na uvunaji wa mpunga ambao upo 40%

70% ya mazao yanayotumika sana nchini kwetu ni mahindi, mchele na maharage haipiti siku waTanzania 7 kati ya 10 wasitumie moja wapo ya haya mazao, Maeneo yanayolima sana ndio yapo kwenye uvunaji mda huu

Mikoa ya kiuzalishaji kama Ruvuma, Rukwa, Mbeya, Morogoro pia imeanza kuvuna mda huu lakini hatuoni bei ikishuka kwa asilimia kubwa, ikumbukwe nchi yetu inapata mvua vipindi viwili tu kwa mwaka (vuli na masika) vuli hutangulia kuanzia september mpaka disember (maanaake vuli imeshapita) sasa tupo mwishoni mwa mvua za masika mvua hizi zilianza mwezi february na zitaisha rasmi mwishoni mwa mwezi huu

Asilimia kubwa ya wakulima tulokuwa nao nchini wanategemea mvua na hapa tukubaliane kwamba hatutapata tena mda wa kuzalisha mazao mengine mpaka mwishoni mwa mwaka, maanaake mazao haya yaliyopo yanatakiwa yatupeleke mpaka mwaka kesho mwezi kama huu

Kama wakulima wapo wanavuna shambani lakini bei hazishuki na hii inatoa picha kabisa kuwa mazao yaliyopatikana msimu huu bado ni kidogo na bahati mbaya wakulima walokuwa wengi wanauzia mazao shambani maanake tayari wafanyabiashara wa mazao mameshajimilikisha mazao ya msimu huu

Nimepita baadhi ya maeneo haswa kanda ya ziwa mkoani Geita halmashauri ya Geita DC mpunga unavunwa bei ya mchele imepungua lkn sio kwa ukubwa huo huko kg 1 ya mchele wanauza kwa Tsh 2000- Tsh 2500 hii ni bei ya mchele mpya kutoka shamba tuna mwezi mmoja na nusu tu wa uvunaji hali ni mbaya

Hapa serikali inatakiwa izuie moja kwa moja soko la nje, tusijidanganye kuwa tunamsaidia mkulima tutaua watu kwa njaa, kama mwezi may bei ni hii vipi mwezi disember? Soko la ndani bado ni kubwa sana linatosha kuuza mazao ikiruhusiwa mazao kwenda nje trust me mazao hayatashikika

Inawezekana serikali inataka kuvutia watu waingie kwenye kilimo sawa lkn lazima tuwe na mgawanyo wa kazi, watu walime mazao tupate chakula, watu wasome tupate wataalamu, watu wafanye michezo tupate wacheza mpira, riadha ndodi nk

Kuna watu wengine hawawezi kujikita kwenye kilimo ila wanachangia ukuaji wa uchumi wa nchi kwa mambo mengine, hebu tuwawazie vijana wanaojenga majengo (mafundi) wanajitoa sana kuijenga nchi yetu tumeona kilichofanyika Dodoma mji unajengwa kweli kweli, vijana hawa kipato chao kipo pale pale hata mh Rais hajagusia masilahi yao leo hii pale Morogoro ataweza kununua chakula kikipanda bei ikiwa pesa anayolipwa ni ile ile miaka yote

Tusichukulie poa hali itakuwa mbaya sana kuanzia mwezi september mwaka huu
Umeongea kama ngumbaru , unasema bei imepanda ya chakula ,unafikiri imejipandisha tu bila sababu ,au unadhani aliyeingia gharama za mbolea ,viwatilifu ,mbegu , mafuta , usafiri ,gharama ya wahudumu wa hayo mashamba ni bashe ? , Wewe unajua gharama za hivyo vitu vimepanda kwa kiasi gani ? ,au umeangaliwa tu matumbo yenu ?

Unafikiri ukipiga marufuku na kuzuia hao wakulima wasiuze nje kwa bei inayo walipa utakuwa imeshusha bei au ndio kukandamiza mkulima kwenye umasikini na kumkatisha tamaa ya kulima ? ,
Na unafiki wenu Ninyi si ndio mnasema humu kwamba ukitaka kuwa masikini kuwa mkulima ? Sasa kama mkulima anakuwa masikini kwa kusindikizwa na udikteta wa kutetea matumbo yenu unaona ni haki ? ,
Hao mafundi kuna mtu alishawalizimisha jinsi ya kufanya kazi na kuspend hizo posho zao ? ,What a nonsense .
Kilimo ni biashara na shughuli kama nyingine na mazao ni mali ya mkulima ,huna haki ya kudictate matumizi ya mali ya mwingine ,hii mentality ya kikoloni na ukomunist ni upuuz na ndio imemdifimiza mkulima mpaka leo hii kiuchumi ,na watu wanakimbilia kuuza bidhaa za kichina mjini wanakimbia kilimo ,nani awalimie
Acha ujinga
 
Kanda ya ziwa mkoa unaoongiza kwa uzalishaji wa mahindi ni Mara wilaya ya Tarime,, Kagera ina hali nzuri sana ila hawajawekeza kwenye kilimo cha mahindi

Ukiachana na hiyo mikoa hakuna mkoa unaizidi Geita,, Geita inapokea mvua vipindi viwili kwa mwaka wakati Geita ina eneo la ukubwa wa zaidi ya ekari 2000 na zote zipo eneo moja kama kuna mtu wa Geita atakuwa anakifahamu kijiji cha Ibanda ambacho kinapaka na Kijiji cha Igaka upande wa Sengerema
Hatima ya mchele kushuka huwa ipo kwenye mikoa ya tabora, Morogoro na mbeya kwa sababu ndo wazalishaji wakubwa ya mpunga hapa nchini.

Na hatima ya kushuka kwa mahindi huwa ipo kwenye mikoa ya kusini maana ndo walimaji wakubwa wa mahindi hapa nchini.
 
Mpaka mda huu nipo field mkuu nakuhakikishia hakuna mkulima ananufaika na hatua hii kuna watu wapo shambani wananunua mazao kisha wayahifadhi kisha wayauze,

Kufanya kilimo cha ufanisi kikulipe ni lazima uwe na mtaji usiopungua milion 4 ni kijana yupi atatoka mjini akalime kwa mtaji huo?

Siku zote wakulima watakao baki ni hawa hawa tulionao ambao wana mitaji ya laki 5 mpaka milion 1 wanaolima ekari moja mpaka 2 kwa msimu

Najua ww inawezekana hujawahi kufanya kilimo thats why unaongea, mda huo unafanya kilimo kuna vitu vitasimama kwa mtu mwenye mtaji huo wa laki 5 - mil 1 huwezi kuendesha kilimo bila ww kuhusika moja kwa moja

Hii ndio inapelekea kukopa na deni linalipwa moja kwa moja na mazao, hawa wakulima wanaolima ekari 200 na kuendelea ni wachache sana nchi hii

Mitaji hakuna mkuu,, hawa unaowataka watoke mjini warudi wakalime kijijini huenda huko mjini wamejiajiri kwa mtaji wa laki 2 na kitu tu pesa ambayo huwezi kuiweka kwenhe kilimo

Lkn ni lazima watu wote waende shamba? Kwanini tusiwe na mgawanyo? Inchi inategemea Uvuvi, Madini, Biashara, Sekta kama Utalii tuna wa walimu, madaktari, wahandisi unataka watu wote walime
Sasa hii ni biashara huria, nenda na wewe kanunue shambani kwa bei rahisi, au hutaki bei rahisi?
 
N muda wa wakulima kutajirika...vjn wapo mjn wanauza vwembe hawatak kulima...serikali isiingilie swala hili...atakayekufa njaa na afe... BASHE ALISEMA KBS HAWATAINGILIA KAT BEI YA MAZAO..watu tumekuwa tukiwekeza kwenye kilimo lkn outcome miaka yote n ndogo achaaa kila mtu ashinde mechi zake...over
Mabenki na hata hiyo serikali ya Tanzania iliyojaa wapuuz mnaowalilia wawatatulie matatizo ya njaa ndio chanzo cha matatizo ,wao wamechangia nini kwa mkulima mdogo nchi hii ambaye ndio huyo anayelisha nchi hii ya watu milioni 60? ,Kama sio kusimama na kuropoka tu kwenye majukwaa ? , Leo hii huyo huyo mkulima anayefanya kazi kwenye mazingira magumu na shuruba bila uwezeshwaji mnataka kumkandamiza kwa kumlazimisha kuuza kwa bei za hasara ambazo haziendani na input aliyoweka kwenye uzalishaji wa kilimo
 
Mpaka mda huu nipo field mkuu nakuhakikishia hakuna mkulima ananufaika na hatua hii kuna watu wapo shambani wananunua mazao kisha wayahifadhi kisha wayauze,

Kufanya kilimo cha ufanisi kikulipe ni lazima uwe na mtaji usiopungua milion 4 ni kijana yupi atatoka mjini akalime kwa mtaji huo?

Siku zote wakulima watakao baki ni hawa hawa tulionao ambao wana mitaji ya laki 5 mpaka milion 1 wanaolima ekari moja mpaka 2 kwa msimu

Najua ww inawezekana hujawahi kufanya kilimo thats why unaongea, mda huo unafanya kilimo kuna vitu vitasimama kwa mtu mwenye mtaji huo wa laki 5 - mil 1 huwezi kuendesha kilimo bila ww kuhusika moja kwa moja

Hii ndio inapelekea kukopa na deni linalipwa moja kwa moja na mazao, hawa wakulima wanaolima ekari 200 na kuendelea ni wachache sana nchi hii

Mitaji hakuna mkuu,, hawa unaowataka watoke mjini warudi wakalime kijijini huenda huko mjini wamejiajiri kwa mtaji wa laki 2 na kitu tu pesa ambayo huwezi kuiweka kwenhe kilimo

Lkn ni lazima watu wote waende shamba? Kwanini tusiwe na mgawanyo? Inchi inategemea Uvuvi, Madini, Biashara, Sekta kama Utalii tuna wa walimu, madaktari, wahandisi unataka watu wote walime
bodaboda hawa hawa wanaomiliki pikipiki zaidi ya moja ? ,bei ya pikipiki shingapi ? Kuisajili mpaka uingie barabarani ? ni trillions ngapi mnaishia kumtajirisha mchina kwa kununua mapikipiki na bidhaa feki hizo za kimachinga kuongeza ufukara tu , unemployment ,kuzalisha takataka na kuua mapato na uchumi wa nchi kwa viwanda vya ndani kufa .
Badala yake mpaka kilimo kinakosa uwekezaji na nguvu kazi wote vijana wanajazana mijini kuwa maboda boda na machinga ,sijui tunajenga taifa gani hili .
Hiyo ya njaa ni moja ya consequences za huu ujinga wa wananchi na serikali yake .
Mnataka serikali ya Marekani ndio ije iwalimie ?
 
Stupid , bodaboda hawa hawa wanaomiliki pikipiki zaidi ya moja ? ,bei ya pikipiki shingapi ? Kuisajili mpaka uingie barabarani ni trillions ngapi mnaishia kumtajirisha mchina kwa kununua mapikipiki na bidhaa feki hizo za kimachinga kuongeza ufukara tu , unemployment ,kuzalisha takataka na kuua mapato na uchumi wa nchi kwa viwanda vya ndani kufa .
Badala yake mpaka kilimo kinakosa uwekezaji na nguvu kazi wote vijana wanajazana mijini kuwa maboda boda na machinga ,sijui tunajenga taifa gani hili .
Hiyo ya njaa ni moja ya consequences za huu ujinga wa wananchi na serikali yake .
Mnataka serikali ya Marekani ndio ije iwalimie ?
Kwamba mTanzania hawezi kujibu hoja bila lugha ya kutusi
 
Nchi nyingi zimedevolelop kwa kuanzia kwenye kilimo na ufugaji mfano Australia , Leo hii ni nchi tajiri lakini haikuwa Industrialized nation mwanzoni , na eneo kubwa ni jangwa ,ni ajabu Tanzania na viable land kubwa hii yote wanaishi fisi na mijusi , nchi na raia wake inashindwa kuanzisha na kuendesha miradi mikubwa ya kuzalisha chakula cha kutosha kwa domestic consumption na kingine kuuzwa nje ya nchi kama refined products Kwa ajili ya kuongeza mapato ya wananchi na taifa , upuuz sana
Miaka 60+ sasa nchi haina mbele wala nyuma
 
Viongozi wanawaza kuzalisha taifa la vijakazi na makapuku ,watu wasio na future ili iwe mitaji yao ya kisiasa ,ndio hao maboda boda ,mamachinga ,vibarua na watu wengine wanaofanya shughuli zisizo sustainable Kwa uchumi wa taifa na mwananchi in long run .
 
Hizi nchi za Kiafrika zina watu na viongozi na taahira sana ,nchi kama haina policies planners wenye akili na vision ya kuona mambo kwa upana na implications zake ni laana .
Huwezi kutoboa kwa ujinga huo wa kupoteza trillions za pesa kuagiza matakataka ya kichina na kudiscourage akili za watu kuwekeza katika kilimo na shuguli nyingine za kuzalisha products za kuuza nje ya nchi na kusababisha nchi iwe compettative kiuchumi na kuondoa umasikini ,badala yake mnajenga uchumi wa China na mnashindwa hata kujilisha mpaka mchina awaleteee mchele wa plastic kama msaada mkenue na kuchekelea kama ngedere .
So Stupid
 
Sijui kama ilishawahi kutokea bidhaa kupanda bei kwa kupaa kiasi hiki.

Na kila siku afadhali ya jana! Imagine!
 
Mafuta ya taa shilingi 4,500/- Kwa lita moja [emoji2297][emoji2356][emoji848]

Yaani mafuta ya taa yanayotumika na wakala hoi mpaka vijijini bei inakuwa kubwa kuzidi bei ya petrol na diesel?
 
Mkuu Kimbukiko tulifeli kwenye misingi ni ukweli kabisa japo miaka ya hivi karibuni kuanzia awamu ya nne ya Jakaya Kikwete tulianza jitihada tukaona kilimo kwanza nk

Hapa tujadili hali tulonayodada huu ya uhaba wa mazao tunatokaje,, tuendelee kuuza nje na wakati sisi wenyewe ndani chakula hakitoshi?
 
Back
Top Bottom