Hali mbaya: Wafanyakazi TBC waanza kukosa uvumilivu

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,583
6,633
Watu hawajapewa allowances zao ni mwezi wa 10 sasa, ikiwa ni pamoja na House, transport, meal.

Wafanyakazi TBC1 wameanza kubandika mabango notice board wakisema wamechoka wanataka posho!

0998b9f6-b481-4597-b7bd-771ddbcc3775.jpg


Nani wa kuwasaidia watanzania wenzetu hawa?

UPDATE:
Leo Aprili 18, 2018 Mkurugenzi wa TBC, Ndg. Ayub Rioba atakutana na wafanyakazi wa TBC1 na kesho ataenda Pugu Road kuongea na wafanyakazi (kutuliza hali?)
 
Tuwekee ushahidi ili tujue kama kweli hapo ni TBC kwa kuwa hakuna hata logo au tangazo lingine hapo pembeni lenye angalau nembo ya TBC ilituweze kuamini, vinginevyo unaweza kuchukua tangazo la shirika lingine ukasema ni TBC.

Kwa ninavyojua mimi serikalini kwa sasa hakuna mtu anayethubutu kufanya kitu kama hicho,kwani kwa kufanya hivyo ni sawa na kuandika au kusaini barua ya kuacha kazi.
 
hawa wafanyakazi wa tbc wanafanya kazi serikali ya nchi gani? utitiri wa posho zisizo na msingi ulishafutwa siku nyingi sana. wachape kazi
 
kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake.

TBC mnapaswa kumlilia mungu mtu na maliyamungu maana mlijifanyia eti nyie ni wazalendo kutetea uongo wao!
na bado!!!!
 
Watu hawajapewa allowances zao ni mwezi wa 10 sasa, ikiwa ni pamoja na House, transport, meal.

Wafanyakazi TBC1 wameanza kubandika mabango notice board wakisema wamechoka wanataka posho!

View attachment 748562

Nani wa kuwasaidia watanzania wenzetu hawa?
Bora wao hawajapewa sisi kwetu zimeondolewa umebaki mshahara tu kasoro wale Wakurugenzi wa juu ndiyo wameachwa.

Tena Sizonje alivyo ni bora waache kubandika hayo mabango yao.
 
Back
Top Bottom