hawa wafanyakazi wa tbc wanafanya kazi serikali ya nchi gani? utitiri wa posho zisizo na msingi ulishafutwa siku nyingi sana. wachape kazi
sijasoma mkuu ila posho za kipuuzi zote zilishafutwa na serikali. nipe mfano wa posho ya mazingira magumu anayolipwa mtumishi wa tbc tofauti na mshahara wakemjomba una elimu kiasi gani? Meal, transport na posho ya kujikimu hizo mara zote ni kwa mujibu wa sheria ikiwemo housing allowance na posho ya kufanya kazi kwenye mazingira magumu . Allowance hizi zinatolewa kulingana na ngazi yacheo
hawa ndiyo washangiliaji wa ukandamizaji.. wacha waisome!Watu hawajapewa allowances zao ni mwezi wa 10 sasa, ikiwa ni pamoja na House, transport, meal.
Wafanyakazi TBC1 wameanza kubandika mabango notice board wakisema wamechoka wanataka posho!
View attachment 748562
Nani wa kuwasaidia watanzania wenzetu hawa?
UPDATE:
Leo Aprili 18, 2018 Mkurugenzi wa TBC, Ndg. Ayub Rioba atakutana na wafanyakazi wa TBC1 na kesho ataenda Pugu Road kuongea na wafanyakazi (kutuliza hali?)
Hari ya kazi badala ya Ari ya kazi.Kuna kosa gani kwenye hilo bango, mbona naona maneno yote sahihi? hebu taja moja lilopo hapo na limekosewa.
Lkn ujumbe umefika.Television ya Taifa Wao Wameifanya Taasisi ya Chama Cha Mapinduzi Na Chombo Cha Mkuu Wa Mkoa, Waende Huko CCM watapata hizo allowances
Wewe unajua au dharau tu acheni zenu bhana.Mfanyakazi wa TBC hajui ku spell maneno ya Kiswahili