Hali mbaya UKAWA

Katika hilo hali ni mbaya sana chadema katika uchaguzi huu na kuna hatari kubwa sana ya kupoteza majimbo mengi kama mwandishi alivyosema.Chama kinachoshika dola kwa sasa uwezekano wa kushinda majimbo mengi ni mkubwa sana hata zaidi ya hapo awali.
ni vizuri maelezo yaje na sababu!!
kwanini useme kuwa cdm hali ni mbaya!??
 
naona kitengo cha IT kazini. Pumba tupu
Mkuu huyu hawezi kuwa mtaalam wa IT wala hawezi kuwa ameajiriwa Tiss na kama ana ajira hiyo amepewa kindugu bado hana mafunzo yoyote. Hawa ndo Mzee wetu kinana anawaita mizigo.
 
du, hadithi yako tamu sana mkuu...uko mahiri sana katika utunzi.
 
Ni kweli hali ni mbaya sana Lumumba.

Eti magufuli 4 change
basi mchukue na jina la Lowasa kabisa.
Anunue kabisa na wigi nyeupe avae...!

Ha ha haa, itampendeza sana.
 
na nmejiongeza kweli na ndomana sipo ukawa wanao comment joining dates za wengine instead ya kufocus on points...

kizuri chajiuza kibaya chajitembeza,,,,,,fisiem baada ya miaka 50 mnatoa ahadi mpya lukuki hamna
 
Wewe unapaswa kupigiwa yowe ya mwizi maana unaongea uongo ambao hata wewe unajua
 
kizuri chajiuza kibaya chajitembeza,,,,,,fisiem baada ya miaka 50 mnatoa ahadi mpya lukuki hamna

Hiyo Miaka 50 Lowassa Alikuwa Chama Gani?Nayeye Alishiriki Vilevile Kwenye Uundaji Na Utekelezaji Wa Hzo Ahadi Ambazo Leo Unaziponda Tena Alishika Position Ya Juu Kuliko "the One Who Makes Things Happen" Hon.Jpm Still He Did Nthng!!
 
Nyumbu wa Serengeti ww,muombe January makamba akuandalie press confr ukawaambie wanahabar wa ccm sio huku jf,huku huenei ww kuna vchwa.
 
Hiyo Miaka 50 Lowassa Alikuwa Chama Gani?Nayeye Alishiriki Vilevile Kwenye Uundaji Na Utekelezaji Wa Hzo Ahadi Ambazo Leo Unaziponda Tena Alishika Position Ya Juu Kuliko "the One Who Makes Things Happen" Hon.Jpm Still He Did Nthng!!
Once I was blind but now I can see!
by Brehanna

Another day going by
as you sit and tell me lies
i try to believe it and not to cry
i was blind-but now i see it

hiding my pain and hurt inside
i hope you realize what you've done
but maybe its a lesson to be learned
you'll never change
thats for sure
i was blind-but now i see it

you call me names
and threaten me
why do i love you?
why do i stay?
i wish i had known
but you hide it so well
i was blind-but now i see it

Magufuli atawaumiza akishaingia madarakani subilini mtaona
 
Hajaenda kutuliza akili huyo, kaenda kumuomba radhi Dr. Slaa, mbona huu mwaka wamenasa kwenye tundu bovu... wanahaha tu hawajui pakutokea
 
am so sorry i think once you had good eye sighting but now your blind its opposite of what you have said...
 
Sawa tumeondoa ushabiki lakini toka ufikie hapo ulipo ccm kakufanyia nini? Ahadi ngap kazitaja kwa miaka tofauti na upi uliokamilika kwa asilimia zote? Wewe ni kijana badilika bac. Hata kama hujui kusoma ata PICHA huoni?
 
Ukawa wameshikwa pabaya sio mchezo
 
Vijana wa ccm kiwango cha elimu ni kipi? Mbona mnaandikaga mambo yasiyolingana na kinachoendelea

kweli mmezidiwa sana mwaka huu

Tehtehteh unauliza elimu ya vijana wa CCM?? Elimu ya mwenyekiti wako unaijua vizuri?? Elimu ya mpambe wa mgombea wenu je?? Na hata hiyo elimu ya mgombea wenu wa urais mzee wa ku shakeshake una u hakika nayo??Tehtehteh nadhani Ni vyema ukahoji kwanza hao b4 ya vijana wa ccm..
 
Hiyo Miaka 50 Lowassa Alikuwa Chama Gani?Nayeye Alishiriki Vilevile Kwenye Uundaji Na Utekelezaji Wa Hzo Ahadi Ambazo Leo Unaziponda Tena Alishika Position Ya Juu Kuliko "the One Who Makes Things Happen" Hon.Jpm Still He Did Nthng!!

Mrudisheni huyu kilaza wenu shule....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…