Hali mbaya UKAWA

Hali mbaya UKAWA

Magufuli ni mtu wa watu, ni chaguo la Mungu, kila anapopita maelfu ya watu wanajitokeza ikiwa ni sababu ya kuamini utendaji wake. Wanainchi hawaitaji kuchagua wagombea wenye migogoro ndani ya vyama vyao kila kunapokucha.
 
Sasa kama mimi hapa Nimeshajitoa hata kupigia jiwe kura ila cyo ccm unafikir nakuelewa.hapa ukawa tu,afe beki afe kipa,mambo ukawa.
 
Vijana wa ccm kiwango cha elimu ni kipi? Mbona mnaandikaga mambo yasiyolingana na kinachoendelea

kweli mmezidiwa sana mwaka huu
 
Vijana wa IT nimewaongezea bundle ili wakaangukie pua vizuri

nakukaribisha uwanja wa taifa uone tunavoangukia pua vzuri pale Hon.John P Magufuli Akiwa Anaapishwa Kuwa Raisi Wa Awamu Ya 5 Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Inaonekana Upo Vizur Kukagua Profile Za Watu,hembu Niangalizie Na Yangu!!!Mbona Ukawa Kuna Id Mpya Zenu Nying Tu Humu Watu Hatupigi Kelele Af Zinasumbuasumbua Tu Kwa Propaganda Za Kishenzi Lakini Sisi Tumetulia Tu,nyie Badala Ya Kutoa Hoja Mnabaki Kuangalia Profile Za Watu Mmeishiwa?.....!

...ni dhahiri uwezo mdogo wa kudadisi mambo unakusumbua.....
nani alikwambia inahitaji/kukulazimu kukagua profile ya mtu kujua kajiunga lini?
jiongeze ewe uliyejivika upofu na mahaba ya kigamba
 
nakukaribisha uwanja wa taifa uone tunavoangukia pua vzuri pale Hon.John P Magufuli Akiwa Anaapishwa Kuwa Raisi Wa Awamu Ya 5 Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania

Ongeza bundle kijana wangu wa IT.
IT za shule ya Kibajaj
 
Weka ushabiki wa kisiasa pembeni usiombe kitu kama hicho. Yakitokea kama yaliyotokea Libya, wewe utapona?

Nimesema mimi au gamba mwenzako magufuli..nyie watoto wa wakubwa ndo mtakoma mimi mtoto wa mtaani kwa tz tutaanza na nyie watoto wa magambazi...
 
...ni dhahiri uwezo mdogo wa kudadisi mambo unakusumbua.....
nani alikwambia inahitaji/kukulazimu kukagua profile ya mtu kujua kajiunga lini?
jiongeze ewe uliyejivika upofu na mahaba ya kigamba

na nmejiongeza kweli na ndomana sipo ukawa wanao comment joining dates za wengine instead ya kufocus on points...
 
Hamna watu wenye roho ngumu kama miccm..yani wanatupa live tuisome namba kwa hela zetu za kodi...mweeèeeh lazima waondoke syeeee
 
Duh...mimeamini ukiwa ccm wewe ni mzigo kwa taifa..bora libya ije tu kama magufuli alivyosema tupunguzi hii mizigo..

naona kitengo cha IT kazini. Pumba tupu

Moja kati ya mikakati waliyoweka CCM ni kwenda kumuomba mama Maria Nyerere akamuombe Janeth (mke wa Magufuli) ili akubali kujiunga kwenye kampeni na mumewe....


Hiyo ndio wanayoita mikakati.......Vilaza.

Ccm imeshindwa kutatua kero ya umasikin kwa miaka yote

Yaani umelala kitandani na kuitunga habari yako hii...!!
Nakushauri uipeleke kwa nape au january makamba... italipa sana..!!

Mama Magufuli akitaka kupiga kampeni/kushiriki siasa basi yampasa kwanza ajiuzulu utumishi wa umma..!!

Ni kweli hali ni mbaya sana Lumumba.

Eti magufuli 4 change
basi mchukue na jina la Lowasa kabisa.

Tatizo mnataka muone kila mtu kwenye camera wakati haiendi hivyo. UKAWA ni watu wenye mpango mkakati

Unatokwa na mapovu tulia sindano ikuingie vizuri hujui kuwa UKAWA ni mpango wa Mungu

Fika Arsha uone moto wa Lema Monaban analia lia tu

Magamba wajinga sana. Mnadhani tumesahau jinsi wabunge wenu walivyozoea ndiyooo.... Then tutawakumbusha wakati wa mchakato wenu, nn kilitokea...maana rushwa ilikuwa nje nje na mkalalamikiana wenyewe kwa wenyewe... sasa leo mnataka kutuambia nini..??? kmnina

Hapo katumwa na kibajaji.

Kachukua posho Lumumba

Tehteh.....id maalumu kwa kazi maalumu

penye watu kumi saba ni ukawa ,wawili ni ccm na mmoja ni ACT

hahahaaaaaaaa... sasa kama mtu unashindwa hata kumshawishi mkeo akuunge mkono kwenye kampeni, utaweza kweli kuwa na ushawishi kwenye mambo ya kitaifa?

Naona huu Ñî mpango kambambe wa kile kitengo cha IT .

Kwa bahati Nzuri mipango yao inabuma. JM kaishiwa mbuni.
 
tatizo la ukawa wanafikiria mtu akizikwa na watu wengi Ndio anaingia mbinguni
 
Back
Top Bottom