Hali mbaya UKAWA

Hali mbaya UKAWA

penye watu kumi saba ni ukawa ,wawili ni ccm na mmoja ni ACT
 
HALI MBAYA UKAWA:
Join Date : 19th August 2015
Tatizo la vijana wa bavicha mkiambiwa ukweli bado mnakuwa wagumu sana kuelewa, ondoeni ushabiki, angalieni hali ilivo kwa umakini mtagundua kama mwandishi yupo sahihi na taarifa yake. Kule serengeti Mosena kaja juu hali kadhalika jimbo la Vunjo napo hali sio nzuri, bado mnakuwa wabishi!
Join Date :26th August 2015
Uwezekano ni mdogo sana kwa chama hiki kupata majimbo hata waliyokuwa wakiongoza, CCM inaonekana imejipanga vizuri sana na mikakati yake ni mizito katika kuhakikisha kinashika dora na kuongoza viti vya ubunge.

Join Date :19th August 2015

TEHTEH..ID MAALUMU KWA KAZI MAALUMU...#PROPAGANDA
SIFA YENU:HAMNA MUDA WA KUTOA LIKES(APPRECIATE).......TEHTEH,,,,,,,
 
Mama Magufuli akitaka kupiga kampeni/kushiriki siasa basi yampasa kwanza ajiuzulu utumishi wa umma..!!

Mbona sıku nyingi alishaomba likizo?Haujiudhuru bali unaomba likizo bila malipo.
 
Hiv maccm yamebakiza kuandika pumba tu,, kweli mmechokaaaa,, khaaa, na mpigwe chini tu sasa maana uwezo wenu ni zero kabisa kwa sasa.
 
Kwaka kuwa UKAWA hawapendwi kuambia uhalisia wa mambo,tuwaambie kuwa MTASHINDA KWA KISHINDO,SAWASAWA??
 
Join Date : 19th August 2015

Join Date :26th August 2015


Join Date :19th August 2015

TEHTEH..ID MAALUMU KWA KAZI MAALUMU...#PROPAGANDA
SIFA YENU:HAMNA MUDA WA KUTOA LIKES(APPRECIATE).......TEHTEH,,,,,,,
Tyta leo umenifurahisha sana jinsi unavyowaumbua hawa jamaa..Kweli wana hali mbaya
 
Last edited by a moderator:
Niliyoyaona MULEBA leo, hayaakisi ukisemacho, rudi kajipange upya!
 
Moja kati ya mikakati waliyoweka CCM ni kwenda kumuomba mama Maria Nyerere akamuombe Janeth (mke wa Magufuli) ili akubali kujiunga kwenye kampeni na mumewe....


Hiyo ndio wanayoita mikakati.......Vilaza.
hahahaaaaaaaa... sasa kama mtu unashindwa hata kumshawishi mkeo akuunge mkono kwenye kampeni, utaweza kweli kuwa na ushawishi kwenye mambo ya kitaifa?
 
Vijana wa IT KAZANENI nitawaongezea 7*3 na hela ya bundle.
M4C tunasonga tumehamia ukawa jamani
 
Ukweli mnaupata ndio sababu mnatanguliza matusi, acheni kubuluzwa na mzee wenu mgonjwa.
 
duu h!! uanzisha thread, uliandika huu uzi ukiwa umeingiziwa mti dilidooo kwa nyuma au uliandikiwa? icje kuwa tunakulaumu bure pasipo kujua nn klchikusibu#…
 
Tehteh.....id maalumu kwa kazi maalumu

Inaonekana Upo Vizur Kukagua Profile Za Watu,hembu Niangalizie Na Yangu!!!Mbona Ukawa Kuna Id Mpya Zenu Nying Tu Humu Watu Hatupigi Kelele Af Zinasumbuasumbua Tu Kwa Propaganda Za Kishenzi Lakini Sisi Tumetulia Tu,nyie Badala Ya Kutoa Hoja Mnabaki Kuangalia Profile Za Watu Mmeishiwa?.....!
 
Magufuli ni zaidi, agenda zake zinatekelezeka tofauti na yule mzee wetu aliye na washabiki wanaopiga kelele na kulalamika kila siku.
 
lacuna

Magufuli ni mtendaji na mtu mwenye uwezo binafsi wa kujitolea. Watanzania hawapo tayari kuchagua mgombea mwenye makandokando mengi. Kila mikutano anakopita Magufuli ni zaidi ya SUNAMI.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom