Hali mbaya UKAWA

Hali mbaya UKAWA

HALI MBAYA UKAWA:
Hali imezidi kuwa mbaya katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi kwa upande wa Ukawa baada ya chama cha mapinduzi kuweka mikakati mizuri ya ushindi,Mikakati hiyo ya ccm inewafanya Ukawa kushindwa kuwa na ushirikiano mzuri kiasi cha kila mmoja kujiangalia yeye binafsi katika eneo lake!Kamat iliyoundwa kwa lengo la kumnad mgombea wa urais, wajumbe wake wote wamerudi katika majimbo yao katika kuhakikisha wanashinda huku wakisema suala la urais wanamuachia mwenyewe Lowasa aangaike nalo kwani na wao wanaangalia ugali wa familia zao(yaan kila mtu afe na lake). Kwa sasa lowasa amebaki na Sumaye pekee na hata Masha ameamua kumkimbia baada ya kusoma alama za nyakati.Aidha kwa upande wa mgombea mwenza Bw.Duni nae amechoka kuwafanyia kampeni chadema kwani takriban asilimia 95 ya majimbo anayopita kuna wagombea wa chadema kwa nafasi ya ubunge badala ya CUF,hali hiyo imemkatisha tamaa kiasi cha kufanya kampeni zake kama bora liende ili mradi tu atimize wajibu!!Aidha wagombea wa nafasi za ubunge hasa wa CDM wanakabiliwa na ushindani mkubwa toka kwa CCM kutokana na namna chama hicho kilivyojipanga na pia kutumia utaratibu mzuri wa kumpata candidate wao katika eneo husika.Tofaut na vyama vya ukawa ambavyo wagombea wao wengi hawakukubaliana na utaratibu ule wa kuachiana majimbo,wengi wao ambao hawakupata wamekuwa na kinyongo kiasi cha kuhama au kufikiria kufanya hujuma ili wakose wote!!Kutokana na hali hiyo uchaguzi wa mwaka huu unaonekana utaleta matokeo ya ajabu na upo uwezekano mkubwa wale mapinzani maarufu wasirudi bungeni!Baadhi ya wabunge wanaotajwa kuja liona bunge kwa paa awamu ijayo ni Lema,Msigwa,Mkosamali,Lisu,Mnyika,Mbowe,Mbatia.Mwenyekiti wa CDM Bw.Mbowe baada ya kuona hali hiyo ameamua kuondoka kwenda nje ya nchi japo kujituliza kiakili huku akijutia uamuz alichukua wa kumkaribisha Lowasa ndani ya chama

Katika hilo hali ni mbaya sana chadema katika uchaguzi huu na kuna hatari kubwa sana ya kupoteza majimbo mengi kama mwandishi alivyosema.Chama kinachoshika dola kwa sasa uwezekano wa kushinda majimbo mengi ni mkubwa sana hata zaidi ya hapo awali.
 
Magamba wajinga sana. Mnadhani tumesahau jinsi wabunge wenu walivyozoea ndiyooo.... Then tutawakumbusha wakati wa mchakato wenu, nn kilitokea...maana rushwa ilikuwa nje nje na mkalalamikiana wenyewe kwa wenyewe... sasa leo mnataka kutuambia nini..??? kmnina
 
Kama haya uliyoandika umetumwa basi aliyekutuma akili hana kabisa, lakini kama ni utashi wako basi malizia mwenyewe. Tumechoka kujaziwa ujinga jukwaani
 
Tatizo la vijana wa bavicha mkiambiwa ukweli bado mnakuwa wagumu sana kuelewa, ondoeni ushabiki, angalieni hali ilivo kwa umakini mtagundua kama mwandishi yupo sahihi na taarifa yake. Kule serengeti Mosena kaja juu hali kadhalika jimbo la Vunjo napo hali sio nzuri, bado mnakuwa wabishi!
 
lacuna

Hakika historia ya chadema inaenda kupotea, uongozi umeyumba hii ikiwa ni kutokana na namna chama kilivopoteza mwelekeo. Viongozi wandamizi wamekubali kutanguliza tamaa ya feza kutoka kwa mzee, chama kimekosa dira na kila pande ya Tanzania ni migogoro tele.
 
Last edited by a moderator:
Uwezekano ni mdogo sana kwa chama hiki kupata majimbo hata waliyokuwa wakiongoza, CCM inaonekana imejipanga vizuri sana na mikakati yake ni mizito katika kuhakikisha kinashika dora na kuongoza viti vya ubunge.
 
Naona leo magambamasho....ga mmeamua leo
mna post habari fiksi fksi tu
 
Duh...mimeamini ukiwa ccm wewe ni mzigo kwa taifa..bora libya ije tu kama magufuli alivyosema tupunguzi hii mizigo..

Weka ushabiki wa kisiasa pembeni usiombe kitu kama hicho. Yakitokea kama yaliyotokea Libya, wewe utapona?
 
Wameuza chama kwa maumvi bei poa je? Wakija mizungu na mihela yao si wanatuuza watz kura yangu kwa magufuli tu
 
Hahaaa. Jamaa kaandika Topic yake kisha akakimbia kujificha kwenye choo cha makuti ambacho kina kopo lenye kutu. Hii nchi ina watu wa ajabu sana. Washukuru mungu amewaletea UKAWA Neema tutaziona karibuni.
 
Kuna upuuzi mwingine hata mpuuzi hawezi kuandika upuuzi kama huu

Nasikia ilikuwa kauli mbiu ya CCM ya kuwapa watanzania elimu mbovu ikiwa ni pamoja na kufuta somo la siasa shuleni ili uwe mtaji kwao kuendelea kukaa madarakani
 
HALI MBAYA UKAWA:
Hali imezidi kuwa mbaya katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi kwa upande wa Ukawa baada ya chama cha mapinduzi kuweka mikakati mizuri ya ushindi,Mikakati hiyo ya CCM inewafanya UKAWA kushindwa kuwa na ushirikiano mzuri kiasi cha kila mmoja kujiangalia yeye binafsi katika eneo lake.

Kamati iliyoundwa kwa lengo la kumnadI mgombea wa urais, wajumbe wake wote wamerudi katika majimbo yao katika kuhakikisha wanashinda huku wakisema suala la urais wanamuachia mwenyewe Lowasa aangaike nalo kwani na wao wanaangalia ugali wa familia zao(yaan kila mtu afe na lake).

Kwa sasa lowasa amebaki na Sumaye pekee na hata Masha ameamua kumkimbia baada ya kusoma alama za nyakati.Aidha kwa upande wa mgombea mwenza Bw.Duni nae amechoka kuwafanyia kampeni chadema kwani takriban asilimia 95 ya majimbo anayopita kuna wagombea wa chadema kwa nafasi ya ubunge badala ya CUF,hali hiyo imemkatisha tamaa kiasi cha kufanya kampeni zake kama bora liende ili mradi tu atimize wajibu.

Aidha wagombea wa nafasi za ubunge hasa wa CHADEMA wanakabiliwa na ushindani mkubwa toka kwa CCM kutokana na namna chama hicho kilivyojipanga na pia kutumia utaratibu mzuri wa kumpata candidate wao katika eneo husika.Tofaut na vyama vya ukawa ambavyo wagombea wao wengi hawakukubaliana na utaratibu ule wa kuachiana majimbo,wengi wao ambao hawakupata wamekuwa na kinyongo kiasi cha kuhama au kufikiria kufanya hujuma ili wakose wote.

Kutokana na hali hiyo uchaguzi wa mwaka huu unaonekana utaleta matokeo ya ajabu na upo uwezekano mkubwa wale mapinzani maarufu wasirudi bungeni!Baadhi ya wabunge wanaotajwa kuja liona bunge kwa paa awamu ijayo ni Lema,Msigwa,Mkosamali,Lisu,Mnyika,Mbowe,Mbatia.Mwenyekiti wa CDM Bw Mbowe baada ya kuona hali hiyo ameamua kuondoka kwenda nje ya nchi japo kujituliza kiakili huku akijutia uamuzi alichukua wa kumkaribisha Lowasa ndani ya chama

Kachukua posho Lumumba
 
Tehteh.....id maalumu kwa kazi maalumu
 
Back
Top Bottom