Hali mbaya UKAWA

Hali mbaya UKAWA

Kama una akili timamu huwez kuishabikia ukawa

Watu wasiokuwa na ilani
kama unabisha hilo
naomba mnitumie picha ya ilani yenu
frontpage

N walevi wachache tu ndio wanaoshabikia majambazi kama sumaye
na lowasa
 
Mbowe kauziwa mbuzi kwenye gunia kufika nalo nyumbani kakuta gunia la mavi. Sasa jamaa zetu umeuziwa gunia la mavi haliuziki hilo. Ushindi wa asilimia 65 ni kidogo sana ni zaidi ya 70% ukichanganya na Lowassa ni 90% maana kuna 15% ilimfata Lowassa kama hawakumfata kumbe Chadema tambo zoooote hizo hamna kitu. Fankuuuuro
 
Kama una akili timamu huwez kuishabikia ukawa

Watu wasiokuwa na ilani
kama unabisha hilo
naomba mnitumie picha ya ilani yenu
frontpage

N walevi wachache tu ndio wanaoshabikia majambazi kama sumaye
na lowasa

sasa inakuhusu nn ww mwenye akili timamu iache na 25 oct ndio mtajua kua hatuna akili timamu
 
Maelfu ya wakazi wakiwa wamefurika kumsikiliza mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli .
 
hali mbaya ukawa:
Hali imezidi kuwa mbaya katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi kwa upande wa ukawa baada ya chama cha mapinduzi kuweka mikakati mizuri ya ushindi,mikakati hiyo ya ccm inewafanya ukawa kushindwa kuwa na ushirikiano mzuri kiasi cha kila mmoja kujiangalia yeye binafsi katika eneo lake.

Kamati iliyoundwa kwa lengo la kumnadi mgombea wa urais, wajumbe wake wote wamerudi katika majimbo yao katika kuhakikisha wanashinda huku wakisema suala la urais wanamuachia mwenyewe lowasa aangaike nalo kwani na wao wanaangalia ugali wa familia zao(yaan kila mtu afe na lake).

Kwa sasa lowasa amebaki na sumaye pekee na hata masha ameamua kumkimbia baada ya kusoma alama za nyakati.aidha kwa upande wa mgombea mwenza bw.duni nae amechoka kuwafanyia kampeni chadema kwani takriban asilimia 95 ya majimbo anayopita kuna wagombea wa chadema kwa nafasi ya ubunge badala ya cuf,hali hiyo imemkatisha tamaa kiasi cha kufanya kampeni zake kama bora liende ili mradi tu atimize wajibu.

Aidha wagombea wa nafasi za ubunge hasa wa chadema wanakabiliwa na ushindani mkubwa toka kwa ccm kutokana na namna chama hicho kilivyojipanga na pia kutumia utaratibu mzuri wa kumpata candidate wao katika eneo husika.tofaut na vyama vya ukawa ambavyo wagombea wao wengi hawakukubaliana na utaratibu ule wa kuachiana majimbo,wengi wao ambao hawakupata wamekuwa na kinyongo kiasi cha kuhama au kufikiria kufanya hujuma ili wakose wote.

Kutokana na hali hiyo uchaguzi wa mwaka huu unaonekana utaleta matokeo ya ajabu na upo uwezekano mkubwa wale mapinzani maarufu wasirudi bungeni!baadhi ya wabunge wanaotajwa kuja liona bunge kwa paa awamu ijayo ni lema,msigwa,mkosamali,lisu,mnyika,mbowe,mbatia.mwenyekiti wa cdm bw mbowe baada ya kuona hali hiyo ameamua kuondoka kwenda nje ya nchi japo kujituliza kiakili huku akijutia uamuzi alichukua wa kumkaribisha lowasa ndani ya chama

wewe ni lacuna au lakum..........?
 
Dr Magufuli katika Ubora wake
Maelfu ya wakazi wakiwa wamefurika kumsikiliza mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli .
 
Changanya na matokeo ya twaweza utapata jibu kamili jinsi CCM inavyotapatapa.
 
Na mgombea wa chama twawala aliyelalamika kwamba kuna watu mchana ni ccm na usiku chadema ni vipi?bado mshikamano upo chama twawala?
 
Diamond peke take ukimleta Kwa viwanja vikubwa kama taifa/kirumba Kwa kiinglio cha buku 5 au 2 unatengeneza mafuriko ya wa2 ..Leo unatembea na Fiesta ..unatengeneza mafuriko ynajisifu ma ccm tunajidharirisha
 
Katika hilo hali ni mbaya sana chadema katika uchaguzi huu na kuna hatari kubwa sana ya kupoteza majimbo mengi kama mwandishi alivyosema.Chama kinachoshika dola kwa sasa uwezekano wa kushinda majimbo mengi ni mkubwa sana hata zaidi ya hapo awali.

kaja kumsapoti mwenzie....kweli hapo kaaazi kweli kweli
 
HALIYA TAHALUKI UKAWA
Hali imezidi kuwa mbaya katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi kwa upande wa Ukawa baada ya chama cha mapinduzi kuweka mikakati mizuri ya ushindi,Mikakati hiyo ya ccm inewafanya Ukawa kushindwa kuwa na ushirikiano mzuri kiasi cha kila mmoja kujiangalia yeye binafsi katika eneo lake!Kamat iliyoundwa kwa lengo la kumnad mgombea wa urais, wajumbe wake wote wamerudi katika majimbo yao katika kuhakikisha wanashinda huku wakisema suala la urais wanamuachia mwenyewe Lowasa aangaike nalo kwani na wao wanaangalia ugali wa familia zao(yaan kila mtu afe na lake). Kwa sasa lowasa amebaki na Sumaye pekee na hata Masha ameamua kumkimbia baada ya kusoma alama za nyakati.Aidha kwa upande wa mgombea mwenza Bw.Duni nae amechoka kuwafanyia kampeni chadema kwani takriban asilimia 95 ya majimbo anayopita kuna wagombea wa chadema kwa nafasi ya ubunge badala ya CUF,hali hiyo imemkatisha tamaa kiasi cha kufanya kampeni zake kama bora liende ili mradi tu atimize wajibu!!Aidha wagombea wa nafasi za ubunge hasa wa CDM wanakabiliwa na ushindani mkubwa toka kwa CCM kutokana na namna chama hicho kilivyojipanga na pia kutumia utaratibu mzuri wa kumpata candidate wao katika eneo husika.Tofaut na vyama vya ukawa ambavyo wagombea wao wengi hawakukubaliana na utaratibu ule wa kuachiana majimbo,wengi wao ambao hawakupata wamekuwa na kinyongo kiasi cha kuhama au kufikiria kufanya hujuma ili wakose wote!!Kutokana na hali hiyo uchaguzi wa mwaka huu unaonekana utaleta matokeo ya ajabu na upo uwezekano mkubwa wale mapinzani maarufu wasirudi bungeni!Baadhi ya wabunge wanaotajwa kuja liona bunge kwa paa awamu ijayo ni Lema,Msigwa,Mkosamali,Lisu,Mnyika,Mbowe,Mbatia.Mwenyekiti wa CDM Bw.Mbowe baada ya kuona hali hiyo ameamua kuondoka kwenda nje ya nchi japo kujituliza kiakili huku akijutia uamuz alichukua wa kumkaribisha Lowasa ndani ya chama

Duh!!! UKAWA wamevurugana mtoa mada chama cha ukweli kitabak CCM daima
 
usiku huu nimewashuhudia watu wenye bendera za ccm huku wakiimba PE..OPLE....S
PO....WE...R....
Nikayakumbuka maneno ya mgombea wetu
"...mchana ccm, usiku ukawa!!"
ndipo nikajua KULA CCM, KURA UKAWA
 
Ukawa ni kam genge la wa2 wanaotaka madaraka lakini hawana Sera ya maana, mfumo wao haueleweki yaan wanaoisapot inabd wapimwe akili kwanz
 
Back
Top Bottom