Hali kama hii ikitokea hapa Bongo utafanya nini

Hii habari sio kweli, ukweli wake ni kuwa kuna lori lililokuwa limebeba samaki kielekea kiwanda cha kisindika samaki, loki za mlango zilifunhuka na kipelekea samaki kuanguka barabarani. Ushhidi

 
Kiuhalisia hakuna uhusiano. Samaki hawezi ishi kwenye mawingu eti inyeshe mvua wadondoke!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…